Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu

KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir Putin proudly proclaimed the illegal annexation of Ukraine’s Donetsk region, thousands of his troops now appear to be trapped there.

Ukrainian forces have surrounded Lyman, a key transport hub in Donetsk, Serhiy Cherevaty, a spokesman for Ukraine’s armed forces, told The Washington Post on Saturday.

The counterattack will come as an embarrassment to Moscow, a day after claiming swaths of eastern Ukraine as its own in the face of widespread international condemnation. Ukrainian forces advanced on the city overnight even as Russia put on a grand ceremony and a pop concert in Moscow’s Red Square celebrating the annexation.

Cherevaty said Ukrainian troops had recaptured four villages near Lyman in addition to encircling the city, which is a key supply hub on the western edge of Ukraine’s Donbas region. A pro-Kremlin separatist leader in eastern Ukraine had acknowledged Friday that the city was “semi-encircled,” describing Kyiv’s advances as “very unpleasant news” that threatened to “overshadow” the annexation celebrations.

MSN
 
Anayejua mwendelezo wa habari anazoletaga huyu Mzee wa jua kali atusaidie. Maana kwa nyuzi zake za kila siku humu, Zelesinky anapaswa kuwa yupo Moscow mda huu.
He is a volunteer comical Ally of Ukraine kwakweli😊😊😊😊😊😊
 
Urusi kupiga kura na kutangaza yale majimbo alikuwa anazima kilichompata Kharkiv kwa aibu wanajeshi wake kusarender na wengine kutelekeza mitambo ya kivita na kutimua zao mbio
 
IMG_8121.jpg
 
Huku ni kumuaibisha sana Putin.
Hivi askari wa Jeshi la Russia wanakubalije kusalimi amri mbele ya wanajeshi wa Ukraine?

Putin ni mtu mwenye stress tupu kwa sasa.
Wafungwa hao ingekua ni jeshi lenyewe hata,makamanda,wao wasingewatosa
Screenshot_20221001-163737_Twitter.jpg
 
Huku ni kumuaibisha sana Putin.
Hivi askari wa Jeshi la Russia wanakubalije kusalimi amri mbele ya wanajeshi wa Ukraine?

Putin ni mtu mwenye stress tupu kwa sasa.

Halafu raia wake wanaikimbia nchi hapakaliki....
 
Huyu jamaa kwa kujifariji tu. Kila siku ni story za Wanajeshi wa UKRAINE wanaua wanajeshi wa URUSI. Ila kwa ground, watu wanaomba kujiunga na NATO ili wasaidiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe umetulia zako na ng'ombe wenzako hapo NAROK lkn unajua habari za UKRAINE.
 
Hahaha ni huzuni kwa kweli
 
Ha ha ha... safi sana, tuliwaambia mtaita maji ma!!
Wote mlikua kimya mkaibuka kushadadia referendum mkidhani ndio mwisho wa vita, ila vilianzia Crimea na vitaishia Crimea...
 
Back
Top Bottom