Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump Mandonga, Biden chuma...piga nikupige...Biden mkorofi balaaHuko urusi vijana wengi kwa sasa wanatumia google ku search namna ya kujivunja mkono ili kukwepa usaili.
Yote kwa yote angekuwepo Trump huyu putin asingethubutu kufanya huu ujinga,
Kama huwa unapiga kambi kumfuatilia hiyo peke yake inatosha.Go MK254 kuna watu unawapaitia makasiriko ya bila kutarajia.Anayejua mwendelezo wa habari anazoletaga huyu Mzee wa jua kali atusaidie. Maana kwa nyuzi zake za kila siku humu, Zelesinky anapaswa kuwa yupo Moscow mda huu.
He is a volunteer comical Ally of Ukraine kwakweli[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Putin alinyamaza kwa Trump hakuthubutuTrump Mandonga, Biden chuma...piga nikupige...Biden mkorofi balaa
PUTIN ameshikwa Pumbune.Huku ni kumuaibisha sana Putin.
Hivi askari wa Jeshi la Russia wanakubalije kusalimi amri mbele ya wanajeshi wa Ukraine?
Putin ni mtu mwenye stress tupu kwa sasa.
duh kwamba ukisikia kakijiji unaumia maumiv ya kupoteza majimbo ? Sijawai sikia Ukraine kateka jimbo ila nasikia ukraine imeteka vijiji sijui unajua maana ya vijiji sasa sizan kama ulifundishwa vijiji 10 ndo vinaunda jimbo kubwa kutoka ukraine hadi moscowAnayejua mwendelezo wa habari anazoletaga huyu Mzee wa jua kali atusaidie. Maana kwa nyuzi zake za kila siku humu, Zelesinky anapaswa kuwa yupo Moscow mda huu.
He is a volunteer comical Ally of Ukraine kwakweli[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Vichwa vyao ni halali ya Azov battalionHawa waliozungukwa ni chakula Halali kwa majeshi shupavu ya Ukraine.., lazima wakaangwe haswa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Matango pori yakokula mwenyeweHizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu
KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir Putin proudly proclaimed the illegal annexation of Ukraine’s Donetsk region, thousands of his troops now appear to be trapped there.
Ukrainian forces have surrounded Lyman, a key transport hub in Donetsk, Serhiy Cherevaty, a spokesman for Ukraine’s armed forces, told The Washington Post on Saturday.
The counterattack will come as an embarrassment to Moscow, a day after claiming swaths of eastern Ukraine as its own in the face of widespread international condemnation. Ukrainian forces advanced on the city overnight even as Russia put on a grand ceremony and a pop concert in Moscow’s Red Square celebrating the annexation.
Cherevaty said Ukrainian troops had recaptured four villages near Lyman in addition to encircling the city, which is a key supply hub on the western edge of Ukraine’s Donbas region. A pro-Kremlin separatist leader in eastern Ukraine had acknowledged Friday that the city was “semi-encircled,” describing Kyiv’s advances as “very unpleasant news” that threatened to “overshadow” the annexation celebrations.
MSN
For the record tu ni kuwa wanasaidiwa .. wamesaidiwa kabla hata ya kujiunga NATO.Huyu jamaa kwa kujifariji tu. Kila siku ni story za Wanajeshi wa UKRAINE wanaua wanajeshi wa URUSI. Ila kwa ground, watu wanaomba kujiunga na NATO ili wasaidiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umetulia zako na ng'ombe wenzako hapo NAROK lkn unajua habari za UKRAINE.
Walikuwa na mpango huo kabla ya kuzungukwa?Matango pori yakokula mwenyewe
Oct 1 (Reuters) – Russia said on Saturday its troops had withdrawn from the town of Lyman in eastern Ukraine to avoid being surrounded by Ukraine’s army.
“In connection with the creation of a threat of encirclement, allied troops were withdrawn from the settlement of Krasny Liman to more advantageous lines,” the defence ministry said, using the Russian name of the town.
Ukraine’s capture of Lyman, which has served for months as a logistics and transport hub for Russian operations, marked a major defeat for Moscow, a day after President Vladimir Putin proclaimed the annexation of four…
Continue Reading
News Source: Kadyrov says Russia should use low-yield nuclear weapon