Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

Huko urusi vijana wengi kwa sasa wanatumia google ku search namna ya kujivunja mkono ili kukwepa usaili.

Yote kwa yote angekuwepo Trump huyu putin asingethubutu kufanya huu ujinga,
Trump Mandonga, Biden chuma...piga nikupige...Biden mkorofi balaa
 
Kama huwa unapiga kambi kumfuatilia hiyo peke yake inatosha.Go MK254 kuna watu unawapaitia makasiriko ya bila kutarajia.
 
duh kwamba ukisikia kakijiji unaumia maumiv ya kupoteza majimbo ? Sijawai sikia Ukraine kateka jimbo ila nasikia ukraine imeteka vijiji sijui unajua maana ya vijiji sasa sizan kama ulifundishwa vijiji 10 ndo vinaunda jimbo kubwa kutoka ukraine hadi moscow

Sent from my SM-G6100 using JamiiForums mobile app
 
Matango pori yakokula mwenyewe

Oct 1 (Reuters) – Russia said on Saturday its troops had withdrawn from the town of Lyman in eastern Ukraine to avoid being surrounded by Ukraine’s army.

“In connection with the creation of a threat of encirclement, allied troops were withdrawn from the settlement of Krasny Liman to more advantageous lines,” the defence ministry said, using the Russian name of the town.

Ukraine’s capture of Lyman, which has served for months as a logistics and transport hub for Russian operations, marked a major defeat for Moscow, a day after President Vladimir Putin proclaimed the annexation of four…

Continue Reading


News Source: Kadyrov says Russia should use low-yield nuclear weapon
 
For the record tu ni kuwa wanasaidiwa .. wamesaidiwa kabla hata ya kujiunga NATO.

Kuomba kujiunga ni in response ya referendum ya kuchukuliwa kwa ardhi yao. But also means hamna tena kukaa mezani... muda wa kuongea umesha kila mtu achukue hamsini zake
 
Walikuwa na mpango huo kabla ya kuzungukwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…