Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
 
Kuwa na adabu, Mbona kama wewe ndio umelala kuliko hao maafisa usafirishaji.
 
Back
Top Bottom