ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kupata vibonzo hivi bonyeza www.makolo fc@mbumbumbutz.com.Subiri round ya pili watafungwa mechi zote na watashuka daraja.
Tutakuwa tumelalaSubiri round ya pili watafungwa mechi zote na watashuka daraja.
Kuwa caf sio eti kuwa bora bali ni bahati tuBaba yupo kwenye majukumu ya kitaifa
Kwa miaka zaidi ya ishirini hiyo bahati utopolo haipoKuwa caf sio eti kuwa bora bali ni bahati tu
Hata sporting ana cheza champions league uku barcelona wakiwa europa league
Hakika wewe ni utopolo.Kuwa caf sio eti kuwa bora bali ni bahati tu
Hata sporting ana cheza champions league uku barcelona wakiwa europa league
UTO tatizo lao kimataifa mzunguko wakwanza tu CHALI (yaani goli moja tu chali [emoji23], )Mtaweza kutuwakilisha kama Mnyama ili MRUKE JUU KWA JUU [emoji927] aaaa waaapiiiiii
Unakumbuka mlifikaje huko viti maalum ?UTO tatozo lao kimataifa mzunguko wakwanza tu CHALI (yaani goli moja tu chali [emoji23], )Mtaweza kutuwakilisha kama Mnyama ili MRUKE JUU KWA JUU [emoji927] aaaa waaapiiiiii
viti maalumu si tuliwapeleka sisi kupitia kwa bao la thadeo lwanga au umesahau we churaUnakumbuka mlifikaje huko viti maalum ?
FARAJA COMMENTBaba yupo kwenye majukumu ya kitaifa
Yaan hii timu Haina jipya.. Tazama huyo Mzee kabababake amekomaa ndevu kama katani 🤣🤣viti maalumu si tuliwapeleka sisi kupitia kwa bao la thadeo lwanga au umesahau we chura
View attachment 2129539
Tuisila kisinda lazima atatetema jumapili jiandaeniBaba yupo kwenye majukumu ya kitaifa
Tunaiombea Yanga ikaonyeshe maajabu na KIMATAIFA.