Tuliwaambia Kwa Yanga hii mtasubiri sana

Tuliwaambia Kwa Yanga hii mtasubiri sana

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Walitegemea sana yanga ingedondosha point kwa Coastal union.

Police Tanzania, Mbeya city, Azam fc na tegemeo la mwisho likabakia Manungu stadium lakini tumeshuhudia wananchi wakiondoka kifua mbele kwa ushindi mzuri usio na madoa wa 2-0...hapo manungu kuna watu walitolewa kamasi na kutoka na point moja wakajua na leo mambo yangekua yale yale.

Wakasubiri saana wiki,siku,saa na hatimaye muda ukafika... lakini baada ya dk 90 imedhihirika sasa rasmi sasa kuwa Yanga hii ni bora kuliko wao kwa gape kubwa tu.

Wape salaam.
 
UTO wanahaki ya kufurahi na kuchukua ubingwa msimu huu sababu wamesota vyakutosha tangu mtoto wangu anaanza (form one mpaka amemaliza form for 4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]) ubingwa wanausikia kwenye kipindi cha MICHEZO tu redioni duh!!
 
UTO tatozo lao kimataifa mzunguko wakwanza tu CHALI (yaani goli moja tu chali [emoji23], )Mtaweza kutuwakilisha kama Mnyama ili MRUKE JUU KWA JUU [emoji927] aaaa waaapiiiiii
 
UTO tatizo lao kimataifa mzunguko wakwanza tu CHALI (yaani goli moja tu chali [emoji23], )Mtaweza kutuwakilisha kama Mnyama ili MRUKE JUU KWA JUU [emoji927] aaaa waaapiiiiii
 
UTO tatozo lao kimataifa mzunguko wakwanza tu CHALI (yaani goli moja tu chali [emoji23], )Mtaweza kutuwakilisha kama Mnyama ili MRUKE JUU KWA JUU [emoji927] aaaa waaapiiiiii
Unakumbuka mlifikaje huko viti maalum ?
 
Unakumbuka mlifikaje huko viti maalum ?
viti maalumu si tuliwapeleka sisi kupitia kwa bao la thadeo lwanga au umesahau we chura

06A48840-710B-4C52-85D7-38059364E460.jpeg
 
Tunaiombea Yanga ikaonyeshe maajabu na KIMATAIFA.

Msimu ujao wakati Yanga ina angalia wachezaji wawili watatu wa kujazia kwenye kikosi chao, mtaa wa pili watakuwa busy kukamatana uchawi, baada ya kuvurunda msimu huu ligi ya ndani.

Hivyo kufanya vizuri kimataifa msimu ujao, ni jambo lisilo kwepeka mama kubwa. Uwe na imani na vijana wako, lakini pia benchi lote la ufundi, chini ya uongozi mahili wa Profesa Nabi na Msaidizi wake Kaze.
 
Back
Top Bottom