Tuliwaambia mnadanganywa na mawakili wenu mkawa makauzu leo sasa mtasemaje?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.

Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.

Mfano walidanganywa eti mnyama hajawahi kucheza fainali kombe la CAF wakaamini na kuanza kupropaganda.

Wamedanganywa timu yao ni bingwa mara 30 na uongo huo umerudiwa rudiwa hadi Leo umekuwa ukweli wakati ukweli ni mabingwa mara 25 tu.

Ukiona wanatoa hoja zao misuli ya shingo imewasimama kama mwana punda anapandwa uzazini kumbe uongo wa shetani na vinyamkera vyake.

Huwezi kupewa pointi 3 bila kumkaba Mpanzu kelbu mbwa nyie
 
Wewe ndio mbumbumbu uliye tukuka, Watu wa mpira wamesema Simba haijawahi kucheza fainal ya kombe la shirikisho.
Kwasasa ndio wamepata iyo nafasi, kwaiyo Simba kwa mujibu wa taarifa/ record za CAF atashiriki fainal za shirikisho kwa mara ya kwanza.

Yanga ndio timu ya kwanza kufika hatua ya fainal za shirikisho apa Tanzania.
Simba iliwahi kufika fainal kwenye kombe Abiola Cup/CAF cup mwaka 1993 na mashindano ayo yalisha futwa na shirikisho la mpira barani Africa .
 
Walikuwa wana msikiliza mzungu pori aliyekuwa na chuki binafsi na wallace karia
 
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.

Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.

Mfano walidanganywa eti mnyama hajawahi kucheza fainali kombe la CAF wakaamini na kuanza kupropaganda.

Wamedanganywa timu yao ni bingwa mara 30 na uongo huo umerudiwa rudiwa hadi Leo umekuwa ukweli wakati ukweli ni mabingwa mara 25 tu.

Ukiona wanatoa hoja zao misuli ya shingo imewasimama kama mwana punda anapandwa uzazini kumbe uongo wa shetani na vinyamkera vyake.

Huwezi kupewa pointi 3 bila kumkaba Mpanzu kelbu mbwa nyie
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Duuh sasa Hayo ya ubingwa mara 30 wameyatoa wapi
 
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.

Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.

Mfano walidanganywa eti mnyama hajawahi kucheza fainali kombe la CAF wakaamini na kuanza kupropaganda.

Wamedanganywa timu yao ni bingwa mara 30 na uongo huo umerudiwa rudiwa hadi Leo umekuwa ukweli wakati ukweli ni mabingwa mara 25 tu.

Ukiona wanatoa hoja zao misuli ya shingo imewasimama kama mwana punda anapandwa uzazini kumbe uongo wa shetani na vinyamkera vyake.

Huwezi kupewa pointi 3 bila kumkaba Mpanzu kelbu mbwa nyie
Uongozi mzima ni wa kulaumiwa kwa kukubali kushikiwa akili na Haji Manara, inashangaza kuwa Haji ambaye hana nafasi yoyote katika uongozi wa Yanga ndiye alisimamia show na kushinikiza hadi uongozi ukakubali wazo lake bila kutafakari, hakika Haji Manara amewaweza kweli kweli wote wanaoneka ni vilaza, bora wangeshindwa kwa hoja lakini siyo kwa kukosea taratibu za kupeleka shauri lao huko bila kufuata ngazi, aibu kubwa sana hii kwa uongozi wa Hersi.
 
Mwanasheria wa mchongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kila kesi linaangukia pua sijui linatatizo gani hili topolo
 
Back
Top Bottom