Sisi ndiyo Simba SC AKA;Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.
Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.
Mfano walidanganywa eti mnyama hajawahi kucheza fainali kombe la CAF wakaamini na kuanza kupropaganda.
Wamedanganywa timu yao ni bingwa mara 30 na uongo huo umerudiwa rudiwa hadi Leo umekuwa ukweli wakati ukweli ni mabingwa mara 25 tu.
Ukiona wanatoa hoja zao misuli ya shingo imewasimama kama mwana punda anapandwa uzazini kumbe uongo wa shetani na vinyamkera vyake.
Huwezi kupewa pointi 3 bila kumkaba Mpanzu kelbu mbwa nyie
Uongozi mzima ni wa kulaumiwa kwa kukubali kushikiwa akili na Haji Manara, inashangaza kuwa Haji ambaye hana nafasi yoyote katika uongozi wa Yanga ndiye alisimamia show na kushinikiza hadi uongozi ukakubali wazo lake bila kutafakari, hakika Haji Manara amewaweza kweli kweli wote wanaoneka ni vilaza, bora wangeshindwa kwa hoja lakini siyo kwa kukosea taratibu za kupeleka shauri lao huko bila kufuata ngazi, aibu kubwa sana hii kwa uongozi wa Hersi.Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.