Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika kitu
Sera moja wapo ambayo nimeendelea kuikubali, ni Sera nzuri ya kuhakikisha kila mtanzania anakuwa mzalishaji!
Mfano,
Wamachinga kuendelea kufanya Kazi zao bila bughuza yoyote, hii inalifanya taifa kuwa na watu wenye uwezo wa kuzalisha na kuwa na kipato chao wenyewe na kumiliki uchumi wao,
Wachimbaji wadogowago kufanya Kazi zao za uchimbaji bila kubughudhiwa, hii pia inaangukia kwenye umilki wa uchumi wa mtu mmojammoja, tofauti na kuwa na watu wachache wanaomiliki uchumi na watu wengi kutegemea kuajiriwa
Wakulima pia kupewa motisha, mfano, kufutiwa ushuru mbambali wa mazao zisizo na maana kwao hata Kwa serikali, hii inawafanya wao wakulima kuendelea kuzalisha mazao Kwa wingi!
Umetimua wamachinga na mama Ntilie, unategemea kuona uchumi wa mtu mmojammoja ukiimarika kweli?.. Kuwatengenezea mazingira bora wamachinga ni suala zuri, lakini kitendo cha kuwatimua Kabla ya kuwandalia mazingira bora ya kufanyia biashara zao, ni kuuwa uchumi wao!
Badala yake, vijana wengi wamerudi mitaani na wasijue kazi ipi wafanye, matokeo yake tunaona kundi kubwa la panya load likiongezeka Kwa Kasi na ukabaji vichochoroni!
Tengeneza Sera bora za kila mtu awe mzalishaji na sio tegemezi,