Uchaguzi 2020 Tuliwaambia upinzani ni imani, mkabisha. Kiko wapi?

Uchaguzi 2020 Tuliwaambia upinzani ni imani, mkabisha. Kiko wapi?

Siwamilele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
288
Reaction score
730
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?

Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?

Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?

Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?

Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!

Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
 
Waliokuwa wakimuanisha Pombe kwamba yeye ni kama Masiya kwa Watanzania, ingekuwa kule Korea Kaskazini kwa kiduku, wangekuwa kwenye mstari wa kunyongwa. Si kwa kumdanganya mzee hivi!!@@#$?;"/#_^*9&$×/#!'hokyfserdafvx%*%'rh

RPC Shana angekuwa first kupigwa kitanzi. Heri kajiwahi. Alale kwenye moto mkali
 
Upinzani umekuwa mzigo kwao
 

Attachments

  • FB_IMG_1600781151560.jpg
    FB_IMG_1600781151560.jpg
    15.1 KB · Views: 1
Alipingwa Mungu tena na kiumbe aliyemuumba, sembuse binadamu kutoka Geita.

Ukishaijua falsafa ya kwamba, mahali popote utakapofika/kuwepo, kuna watu watakupenda na wengine watakuchukia hata hutababaika.

Kuna wengine pia watakupenda mwanzoni, matendo yako yatawabadilisha, na wengine watakuchukia mwanzoni lakini kadri ya matendo yako watakukubali.

Hivyo, ajue kabisa kuna watu wanaompenda hata asipojisifia na madaraja yake na mabarabara. Kuna wengine hata ajenge barabara la kwenda mbinguni, hata aongee vipi kusifia, hawatampenda.
 
Back
Top Bottom