Siwamilele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2019
- 288
- 730
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?
Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!
Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.