Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Ni yeye?!Hahhah.....Kwa hiyo kifanyike nin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye?!Hahhah.....Kwa hiyo kifanyike nin?
Hata sasa wangewaonyesha live kwenye tbc ili watu wawapime huyo wa kila siku wanchosha na wanachokaHuwezi tumia nguvu kuuwa upinzani Bali akili, tuliwaambia ccm hao polisi wanaowaagiza wawashughulikie wapinzani wanakuharibieni awakutaka kusikia
pol
Hujui fuatilia mikutano ya NYAPARA MAGUFULI usikie anavyocheza mziki wa Lisu. Ulimsikia alichosema kuhusu bima ya afya na vitambulisho vya Machinga? Am.a hufuatiliiKwani kuna nini sasa? Kuna upinzani tena TZ sasa??
Ukweli mchungu!Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?
Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!
Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
Mungu atafanya muujiza atuokoe kutoka kwa huyu wakoloni mweusi anaejifanya mungu mtu.
Vitambulisho haviko kisheria, hamna bunge lililopitisha!Haamini anachokiona!! Leo amepewa tena assignment kama kweli hivyo vitambulisho vya machinga sio vya lazima, basi aifute sheria iliyovianzisha ya waziri wa fedha!!! Sasa atajibu mangapi??
Hivi vile vipindi vya tunatekeleza bado vipo kwenye tvMpk sasa mgombea wa ccm amebaki kufoka foka tu na kurudia rudia kutuhubiria ndege na madaraja ambayo
Itikadi ni Imani kamili inayoishi katika Mioyo mwa Wafuasi wanaoziishi hizo Itikadi.za hivyo vyamaKwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?
Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!
Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
Mkuu huyo jamaa ni kwamba hata chamani hawamtaki, sema hawana ujasili wa kumkabili. Wajumbe wangepewa nafasi hii wangetuondolea ndwele ya taifa.Alafu naona kama ameachwa peke yake, hii ni dalili kuwa hata ndani ya chama chake hawamtaki, wanafki wachache tu ndio wanaomoigania kwa maslahi yao.
Hakuna sheria iliyoanzisha vitambulisho ni matamko ya kipuuzi tu ndiyo yameanzishaHaamini anachokiona!! Leo amepewa tena assignment kama kweli hivyo vitambulisho vya machinga sio vya lazima, basi aifute sheria iliyovianzisha ya waziri wa fedha!!! Sasa atajibu mangapi??
agiza unachokunywa nakuja kulipa mkuuu, igweeeeeeeeeeKwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?
Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!
Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
Na kuzomea ni njia mojawapo ya kutuma ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa; dawa yake si kuwafokea waliozomea, dawa ni kuwaambia kuwa umewasikia na utafanyia kazi! Na unakuwa mpole unawauliza tatizo nini? Si kuna mahali aliuliza tatizo wakamwambia Diwani hayuko nasi, akamwita Diwani ili aombe msamaha, Nadhani yangeishia hapo ila tatizo Diwani nae akamwaga mboga kuwa tatizo ni ahadi ya maji ambayo Rais hakutekeleza. Kilichofuata hapo hakikupendeza. Jibu lilikuwa rahisi tu - ok, niliwasahau, nichagueni tena na safari hii sitawasahau!!Alipingwa Mungu tena na kiumbe aliyemuumba, sembuse binadamu kutoka Geita.
Ukishaijua falsafa ya kwamba, mahali popote utakapofika/kuwepo, kuna watu watakupenda na wengine watakuchukia hata hutababaika.
Kuna wengine pia watakupenda mwanzoni, matendo yako yatawabadilisha, na wengine watakuchukia mwanzoni lakini kadri ya matendo yako watakukubali.
Hivyo, ajue kabisa kuna watu wanaompenda hata asipojisifia na madaraja yake na mabarabara. Kuna wengine hata ajenge barabara la kwenda mbinguni, hata aongee vipi kusifia, hawatampenda.
Kufariki ama kuishi na majaaliwa ya Mungu. Lkn jinsi jamaa anavyo treat binadamu wenzie si sahihi kabisa.Asije tu akafa kwa presha
La vitambulisho haikutungwa na bunge, bali na waziri wa fedha kama Bylaws ambazo ana mamlaka nazo kuzitungaVitambulisho haviko kisheria, hamna bunge lililopitisha!
Kuna kanuni mwaka jana zilitungwa na waziri wa fedha, baada ya watu kuhoji,Vitambulisho haviko kisheria, hamna bunge lililopitisha!