Uchaguzi 2020 Tuliwaambia upinzani ni imani, mkabisha. Kiko wapi?

Huwezi tumia nguvu kuuwa upinzani Bali akili, tuliwaambia ccm hao polisi wanaowaagiza wawashughulikie wapinzani wanakuharibieni awakutaka kusikia
pol
Hata sasa wangewaonyesha live kwenye tbc ili watu wawapime huyo wa kila siku wanchosha na wanachoka

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna nini sasa? Kuna upinzani tena TZ sasa??
Hujui fuatilia mikutano ya NYAPARA MAGUFULI usikie anavyocheza mziki wa Lisu. Ulimsikia alichosema kuhusu bima ya afya na vitambulisho vya Machinga? Am.a hufuatilii
 
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?

Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?

Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!

Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
Ukweli mchungu!
 
Mungu atafanya muujiza atuokoe kutoka kwa huyu wakoloni mweusi anaejifanya mungu mtu.
2082683_FB_IMG_1559946076802.jpg
 
Haamini anachokiona!! Leo amepewa tena assignment kama kweli hivyo vitambulisho vya machinga sio vya lazima, basi aifute sheria iliyovianzisha ya waziri wa fedha!!! Sasa atajibu mangapi??
Vitambulisho haviko kisheria, hamna bunge lililopitisha!
 
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?

Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?

Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!

Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
Itikadi ni Imani kamili inayoishi katika Mioyo mwa Wafuasi wanaoziishi hizo Itikadi.za hivyo vyama

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Alafu naona kama ameachwa peke yake, hii ni dalili kuwa hata ndani ya chama chake hawamtaki, wanafki wachache tu ndio wanaomoigania kwa maslahi yao.
Mkuu huyo jamaa ni kwamba hata chamani hawamtaki, sema hawana ujasili wa kumkabili. Wajumbe wangepewa nafasi hii wangetuondolea ndwele ya taifa.
 
Haamini anachokiona!! Leo amepewa tena assignment kama kweli hivyo vitambulisho vya machinga sio vya lazima, basi aifute sheria iliyovianzisha ya waziri wa fedha!!! Sasa atajibu mangapi??
Hakuna sheria iliyoanzisha vitambulisho ni matamko ya kipuuzi tu ndiyo yameanzisha
 
Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko ya uongozi katika ngazi ya urais baada ya uchaguzi. Ila mkuu atakuwa kajifunza siasa maana yake nini baada ya kuona upepo ulivyo katika kampeni hizi.
 
Nakumbuka mbali sana,"kuunga juhudi".

Katibu mkuu v/s mwenezi.
Miaka miaka mitano wao tu!.
Ila mda huwa mwalimu mzuri aise.
"Chuma kinalia.
 
Kwamba, hao mnao wanunua ni "mizigo" tu wala hawana faida yoyote na mnanunua mtu mmoja ila wafuasi wake (wananchi) wanabaki upinzani mkabisha. Kiko wapi?

Kwamba, mnapo zuia mikutano na maandamano kinyume na "katiba" mnawaudhi sana watanzania. Mkasema ni mda wa kazi tu! Kiko wapi?
Kwamba, kamata kamata ya wapinzani na kuwafungulia kesi 'uchwara' ni kuwaongezea umaarufu wasio kuwa nao mkabisha. Kiko wapi?
Kwamba, mnapo waruhusu wapinzani kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, mnapata nafasi ya kujua madhaifu yenu na wapi mrekebishe lkn mkabisha! Kiko wapi?

Leo hii, jiwe wenu anateswa sana na hoja za wapinzani na anahangaika kuzijibu na kurekebisha makosa lkn ni too late haisadii kitu. Kwa mfano suala la 'vitambulisho vya machinga' kama Lissu angekuwepo nchini kwa miaka yote mitano, angesha liongelea mda sana na jiwe angesha lifutilia mbali. Badala yake linaibuka mda wa kampeni na linakuwa kaa la moto linaunguza hatari!

Pole yenu, tulieni sasa mvune mlichopanda.
agiza unachokunywa nakuja kulipa mkuuu, igweeeeeeeeee
 
Alipingwa Mungu tena na kiumbe aliyemuumba, sembuse binadamu kutoka Geita.

Ukishaijua falsafa ya kwamba, mahali popote utakapofika/kuwepo, kuna watu watakupenda na wengine watakuchukia hata hutababaika.

Kuna wengine pia watakupenda mwanzoni, matendo yako yatawabadilisha, na wengine watakuchukia mwanzoni lakini kadri ya matendo yako watakukubali.

Hivyo, ajue kabisa kuna watu wanaompenda hata asipojisifia na madaraja yake na mabarabara. Kuna wengine hata ajenge barabara la kwenda mbinguni, hata aongee vipi kusifia, hawatampenda.
Na kuzomea ni njia mojawapo ya kutuma ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa; dawa yake si kuwafokea waliozomea, dawa ni kuwaambia kuwa umewasikia na utafanyia kazi! Na unakuwa mpole unawauliza tatizo nini? Si kuna mahali aliuliza tatizo wakamwambia Diwani hayuko nasi, akamwita Diwani ili aombe msamaha, Nadhani yangeishia hapo ila tatizo Diwani nae akamwaga mboga kuwa tatizo ni ahadi ya maji ambayo Rais hakutekeleza. Kilichofuata hapo hakikupendeza. Jibu lilikuwa rahisi tu - ok, niliwasahau, nichagueni tena na safari hii sitawasahau!!
 
Subirini tarehe 28 ndio muje mudhibitishe haya munayo yaamini
 
Back
Top Bottom