Tuliwahi kusema kuwa Kuna uhaba wa kondom, haya sasa maambukizi yameongezeka!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae.

Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile ilikua ngumu sana kusikiliza, matumizi ya kondomu yalionekana kama dhambi, Leo hi kuna mamilioni ya watu wako kwenye ARVS.
TUJIFUNZE KUSIKILIZA, VINGINEVYO MTAKUA KAMA MACKENZIE NA KIBWETERE

IMG_6128.jpg
 
Siku hizi vijana wananunua mafuta kichupa buku. Kulainisha njia ya muingiliano ni kazi kazi
 
Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae.

Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile ilikua ngumu sana kusikiliza, matumizi ya kondomu yalionekana kama dhambi, Leo hi kuna mamilioni ya watu wako kwenye ARVS.
TUJIFUNZE KUSIKILIZA, VINGINEVYO MTAKUA KAMA MACKENZIE NA KIBWETERE

Museven ndio Kibwetere.
 
Hakuna uhaba watu wanaenda kavu wanajilipua tu mfano kule telegram zile video clip watu wanakula kavu nyuma mbele wanakula malaya kavu kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom