Tuliwahi kusema kuwa Kuna uhaba wa kondom, haya sasa maambukizi yameongezeka!

CONDOMS ZIMEJAA KILA MTAA, KILA BAR, KILA CLUB... WATZ WAPUMBAVU SANA MNATIANA KAVUKAVU... MTAKUFA SANA NA MAGONJWA YA ZINAA NA UKIMWI...
 
Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae.

Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile ilikua ngumu sana kusikiliza, matumizi ya kondomu yalionekana kama dhambi, Leo hi kuna mamilioni ya watu wako kwenye ARVS.
TUJIFUNZE KUSIKILIZA, VINGINEVYO MTAKUA KAMA MACKENZIE NA KIBWETERE

ukimwi utatumaliza
 
1684259997111.png
 
Back
Top Bottom