Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

Naomba tuseme kwa pamoja, "kazi iendelee".
 
Lakini freshi kwa sababu Mimi mlalahoi kutuma hela ni Mara moja ndani ya miez 3 kazi wanayo hao wenye uchumi wa kati,hivyo basi tozo haitoshi iongezwe tu
 
Wapinzani wanachelewesha maendeleo hapo kabla hatukuwahi kuwa na tozo hizi za nchemba.
 
Eti tufunge mkanda,wenyewe wamejazana kula posho na mishahara bila kodi na bado wanadai walipwe kwa dola halafu wanakwambia ''tufunge mkanda"

Majizi kabisa hawa jamaa
 
Kwa jinsi walivyo mbumbumbu hawatasema chochote.Watabaki kugugumia kwa maumivu tu. Acha waisome namba,walidhani wao ni "wateule" kumbe vijakazi tu!
Kwani wakiomsifia Mama kama anaupiga mwingi walikuwa wanani? Kila akiejitokeza kusema jambo tofauti na Mama akiitwa Sukuma Gang! Sasa hakuna cha Sukuma Gang wala nini wote wanaanza kumkataa.
 
Kwani wakiomsifia Mama kama anaupiga mwingi walikuwa wanani? Kila akiejitokeza kusema jambo tofauti na Mama akiitwa Sukuma Gang! Sasa hakuna cha Sukuma Gang wala nini wote wanaanza kumkataa.
mama anawanyosha sukuma gnag sisi wengine tulishazoea maisha magumu
 
Hata ikipatikana katiba mpya jukumu la nchi kuendelea ni lazima litaenda sambamba na makusanyo ya kodi.

Huwezi kwenda mbinguni bila ya kufa, mengineyo ni malalamiko yasiyoweza kubadili chochote.
 
Acha dawa iwaingie kabisa
waliwaona akina
John Heche
G Lema
P msigwa
Pendo Pendeza
JJ Mnyika

kuwa hawana akili acha waipate fresh kabisa tena na bado iongezwe zaidi na zaidi in Kigogo's Voice wakija kushtuka kwisha habari kabisa

who cares by your statement?

mnaumia tu

mama anaburuza tu na hamna la kusema
 
Mlisema afadhali ya huyu kumbe ndo ule wimbo usemao mmeipend wenyew na mvimbe mpasuke wembe ni ule ule kaz iendeleeee....
 
Reactions: mmh
Lipa kodi acha kulalamika. Tumeipenda wenyewe. Chaguo letu milele! Mwambie baba yako akakutete basi.
 
Mlisema afadhali ya huyu kumbe ndo ule wimbo usemao mmeipend wenyew na mvimbe mpasuke wembe ni ule ule kaz iendeleeee....
Sisi tulishazoea maisha magumu. Wale wanaoanza watateseka sana
 
Eti tufunge mkanda,wenyewe wamejazana kula posho na mishahara bila kodi na bado wanadai walipwe kwa dola halafu wanakwambia ''tufunge mkanda"

Majizi kabisa hawa jamaa
Hahaa mpaka watanzia wapenda ccm somo liingie ndio ukombozi utakuja
 
Nchi upinzani ni wapinzani wa wananchi sijui watachaguliwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…