Uchaguzi 2020 Tuliwaonya CHADEMA mkimsimamisha Lissu ndio mtafutika rasmi Tanzania

Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa

Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania

Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania machozi yako pale uwanja wa uhuru yalituumiza Watanzania wengi
...
Back to the topic
Kwa Kuwa Chadema hawakusikiliza ushauri wetu basi watajuta milele kuanzia huu mwaka wa 2020
Tuliwapa ushauri kuwa kumsimamisha lissu kugombea Urais ni kujitengenezea kaburi la kisiasa
Zimebaki siku 75 Chadema kuwa hai kwa kuwa mzigo wao waliousimamisha unaotembea kama bata upo kwenye black list kila mahali
Kuanzia kwenye taasisi rasmi na zisizo rasmi

Ilishaamuliwa hawezi tena kuwa hata diwani wa Nchi hii,hawezi tena kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi

Na ataiua Chadema Kwasababu hawatapewa mbunge hata mmoja ni mara miamoja chauma iwe na wabunge watatu kuliko Chadema kuwa na mbunge mmoja

Mwisho wa Chadema ni October 28
kumbe ubunge unatolewa kama zawadi mimi nilifikiri wananchi ndio wanachaguwa viongozi wanao wataka? au ni kweli watu wa ccm wanaupungufu wa akili ya kufikiri? sasa kwa taarifa yako magufuli ajiandae tu kuchuga wanya na pale chato airport. uraisi ndio basi eidha kwa kukubali matokeo au ataondoka kwa nguvu ya uma. ubaya ubaya mwaka huu.
 
Yan mtu alie kua anatetea wez wa Mali zetu ndio tumpe nchi si itakua ujinga wa kiwango cha lami

Mbona serikali CCM ndiyo imesaini mikataba mibovu na kupolwa madini yetu miaka yote bila hata haya. Kwani Magufuli anaposema tumeibiwa sana huwa hayo majizi yalikuwa upinzani ndo yakasaini mikataba ya kutuibia
 
I like what i see, Tundu Lissu ni game changer, amekuja kubadilisha the whole dynamic ya Tanzania politics. Kikubwa zaid kwa hoja zake nzito chama tawala na wafuasi wake wamejikuta wakikaa kwenye defensive mode. Huyu ndo aina ya mpinzani anayehitajika kwenye mazingira ya sasa.
 
Ghafla upepo umebadilika. Kinakuja kisulisuli cha Lissu!
 
Yan mtu alie kua anatetea wez wa Mali zetu ndio tumpe nchi si itakua ujinga wa kiwango cha lami
Lisu alitetea lini?
*Hivi yye si ndio alishauri tujitoe MIGA ili wazungu wasipate pa kutushtaki?
*Si alishauri tusifanye negotiations kabla hatujabadili sheria.
* Si alisema tusihangaike na makinikia pekee wkt matofali ya dhahabu bado tunaibiwa?
*Lissu ndio alidai mikataba ya gesi ipelekwe bungeni
*Lissu aliongoza wapinzani kususia muswada wa mapato ya gesi na mafuta!! (Baadae serikali ikaurudisha bungeni ufanyiwe marekebisho)

Hivi ni lini aliwatetea ACACIA? hivi unafahamu hao hao ACACIA/BARRICK walitaka kumuua tokea early 2000s kisa kupinga shughuli zao kukiuka sheria za mazingira!!

Hvi kitabu chake juu ya madini umekisoma?

Kuna watu mnakera sana
 
Daima namukumbuka Mwalimu, alitambua kitambo aina hii ya wanasiasa "mercenaries"
 
Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa

Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania

Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania machozi yako pale uwanja wa uhuru yalituumiza Watanzania wengi
...
Back to the topic
Kwa Kuwa Chadema hawakusikiliza ushauri wetu basi watajuta milele kuanzia huu mwaka wa 2020
Tuliwapa ushauri kuwa kumsimamisha lissu kugombea Urais ni kujitengenezea kaburi la kisiasa
Zimebaki siku 75 Chadema kuwa hai kwa kuwa mzigo wao waliousimamisha unaotembea kama bata upo kwenye black list kila mahali
Kuanzia kwenye taasisi rasmi na zisizo rasmi

Ilishaamuliwa hawezi tena kuwa hata diwani wa Nchi hii,hawezi tena kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi

Na ataiua Chadema Kwasababu hawatapewa mbunge hata mmoja ni mara miamoja chauma iwe na wabunge watatu kuliko Chadema kuwa na mbunge mmoja

Mwisho wa Chadema ni October 28

Watu wa usalama wote tunawajua fanyeni Kazi kwa nchi sio matumbo yenu
 
October tutawafuta rasmi Tanzania
 
Hatuwezi kulea chama cha siasa kinachotumika na Wazungu kuharibu Nchi yetu
 
Hakuna hata mbunge mmoja ataenda bungeni kwa tiketi ya Chadema
 
Hii Nchi ilijengwa na wazee wetu kwa jasho na damu, Chadema wameamua kuishi nje ya maadili ya kitanzania sasa baada ya October mtajutia maamuzi yenu
 
Mtoa mada wewe!! mchangiaji wewe !! Kwa nn uditulie tu kuficha ujinga wako?!
 
Tuliwalea Chadema Kwa sababu walifuata maadili ya kitanzania kufanya siasa ila kwa kuwa wameamua kumtumikia Mzungu andikeni maumivu
Mtoa mada wewe!! mchangiaji wewe !! Kwa nn uditulie tu kuficha ujinga wako?!
 
Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa

Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania

Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania machozi yako pale uwanja wa uhuru yalituumiza Watanzania wengi
...
Back to the topic
Kwa Kuwa Chadema hawakusikiliza ushauri wetu basi watajuta milele kuanzia huu mwaka wa 2020
Tuliwapa ushauri kuwa kumsimamisha lissu kugombea Urais ni kujitengenezea kaburi la kisiasa
Zimebaki siku 75 Chadema kuwa hai kwa kuwa mzigo wao waliousimamisha unaotembea kama bata upo kwenye black list kila mahali
Kuanzia kwenye taasisi rasmi na zisizo rasmi

Ilishaamuliwa hawezi tena kuwa hata diwani wa Nchi hii,hawezi tena kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi

Na ataiua Chadema Kwasababu hawatapewa mbunge hata mmoja ni mara miamoja chauma iwe na wabunge watatu kuliko Chadema kuwa na mbunge mmoja

Mwisho wa Chadema ni October 28

Kwa hiyo ulitaka wamuweke Mhe Membe? Tindu kaweka uhai katika chama kikuu cha upinzani. Ila Maalim katoka kwenye jivu katumbukia penye moto kwani sikubaliani na sera za ACT-Wazalendo. Ila kwa Urais wasahau kabisa.
 
angalia hawa loud supporters wa Tundu Lissu

halafu check hawa silent supporters wa Tundu Lissu waliomo ndani ya CCM.... tupo kibao kwa taarifa yako!

Atakuwa anamfananisha mgombea kipenzi cha watu na yule maimuna. Anadhani nyomi hizi zimeletwa na malori kuja kuongeza idadi na kuangalia wakata mauno.
 
Lissu amekosa uzalendo wa kitanzania, tutawaadhibu Chadema kwa kuruhuhusu mtu anayetumiwa na Mabeberu kutaka kuvuruga amani ya Nchi yetu

Back
Top Bottom