Uchaguzi 2020 Tuliwaonya CHADEMA mkimsimamisha Lissu ndio mtafutika rasmi Tanzania

Uchaguzi 2020 Tuliwaonya CHADEMA mkimsimamisha Lissu ndio mtafutika rasmi Tanzania

Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa

Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania

Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania machozi yako pale uwanja wa uhuru yalituumiza Watanzania wengi
...
Back to the topic
Kwa Kuwa Chadema hawakusikiliza ushauri wetu basi watajuta milele kuanzia huu mwaka wa 2020
Tuliwapa ushauri kuwa kumsimamisha lissu kugombea Urais ni kujitengenezea kaburi la kisiasa
Zimebaki siku 75 Chadema kuwa hai kwa kuwa mzigo wao waliousimamisha unaotembea kama bata upo kwenye black list kila mahali
Kuanzia kwenye taasisi rasmi na zisizo rasmi

Ilishaamuliwa hawezi tena kuwa hata diwani wa Nchi hii,hawezi tena kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi

Na ataiua Chadema Kwasababu hawatapewa mbunge hata mmoja ni mara miamoja chauma iwe na wabunge watatu kuliko Chadema kuwa na mbunge mmoja

Mwisho wa Chadema ni October 28
Vipi M baba? bado unakiamaini ulichokiandika hapa?
 
Et Lema ashindwe!?? Bulay? heche?? Mdee?? Matiko?? Dogo janja??mbowe???


Mamaeeee. Mnataka Machafuko,???


Safati hiii ,hauwabembelezi .
 
Back
Top Bottom