Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?
Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.
Pia Soma:
www.jamiiforums.com
na
www.jamiiforums.com
BOT hawawatambui 😂 CalvinPower uliuliza maswali jana kwenye reply yako.
Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.
Pia Soma:
Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie. Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni...
na
LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania? Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa. Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
BOT hawawatambui 😂 CalvinPower uliuliza maswali jana kwenye reply yako.