Joshua Mbezi
Member
- Oct 18, 2024
- 66
- 97
😃😂😂😂😂😂 Kwa hali hii naanza kuhisi dalili za uwepo wa msiba wa kitaifaKuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.