Tuliwaonya kuhusu LBL mkashupaza vichwa, sasa mnaisoma namba!

Tuliwaonya kuhusu LBL mkashupaza vichwa, sasa mnaisoma namba!

Kipindi nawaelekeza watu kuwa LBL ni matapeli mlinitukana sana watu wa LBL sasa ngoja zamu yangu umefika malofa wakubwa nyie mnatumia mataqor kufikiri subirini nitoke kuuza ice cream zangu za Bakhera matusi yooote mtayalipa leo kenge wakubwa nyie
🤣 🤣 🤣
Acha tukutazame tu.jpg
 
Kuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.

Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.

Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Screenshot_20250225-143242.png
 
Nakumbuka ulikua ukiwaeleza jamani ni utapeli huoo khaaaah wanakua wakali haooo alafu watu wa Lbl nchi nzima wana majibu yanafanana nahisi pia walikua wanakaririshwa

Utasikia " hela yangu isharudi nakula faida"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kila mtu eti kala faida nashangaa sasa hivi vilio vinatoka wapi au wameliwa faida na wao
Kunae shost akataka kuniingiza huo mkenge, nkamsikiliza wee, baadae nkamuambia, sina huo ujinga wa kutapeliwa kizembe

Acha aanze kubwata hapo, nkamuambia wee em nipishe bhana, usiniletee mauza uza.
 
Kwa kweli, na hawataki kusikia wala kuelewa. Afu utakuta na bado wengine wanapigwaa. Lol
Miaka ile ya deci tu watu walilia kuna wengine kdg wajirushe kutoka gorofa pale ofisi zao mwanamboka kino..ilikuwa mshkmshk jazz band,ile pesa waliyoikamata serikali kwani ilirudi 😄
Zimekuja na kuja nyingi wpmbv wanapigw wanaliwa hawakomi
Sasa utafanyaje Acha wapigwe tu

Ova
 
Miaka ile ya deci tu watu walilia kuna wengine kdg wajirushe kutoka gorofa pale ofisi zao mwanamboka kino..ilikuwa mshkmshk jazz band,ile pesa waliyoikamata serikali kwani ilirudi [emoji1]
Zimekuja na kuja nyingi wpmbv wanapigw wanaliwa hawakomi
Sasa utafanyaje Acha wapigwe tu

Ova
Na wanapigwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka ile ya deci tu watu walilia kuna wengine kdg wajirushe kutoka gorofa pale ofisi zao mwanamboka kino..ilikuwa mshkmshk jazz band,ile pesa waliyoikamata serikali kwani ilirudi 😄
Zimekuja na kuja nyingi wpmbv wanapigw wanaliwa hawakomi
Sasa utafanyaje Acha wapigwe tu

Ova
Deci kuna aunty yangu alipigwa pesa zake za mirathi, hayo machungu yake alikua kama kafiwa tena.
Toka miaka hiyo, naogopa sana hizi mambo!
 
Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?

Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.

View attachment 3249025

Pia Soma:


na




BOT hawawatambui 😂 CalvinPower uliuliza maswali jana kwenye reply yako.
View attachment 3249026
 
Back
Top Bottom