Tuliwaonya kuhusu LBL mkashupaza vichwa, sasa mnaisoma namba!

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?

Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.



Pia Soma:


na




BOT hawawatambui 😂 CalvinPower uliuliza maswali jana kwenye reply yako.
 
Kuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.

Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.

Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
 
Basi acha tuwasindikize na hii gospel matata "wajinga ndio waliwao"


View: https://youtu.be/6HvtDh0fE0M?si=Df_GBcUeyGTeYeoa
Kekundu, kekunduuuuuuuuu ..................
 
Unaogopa kuwataja wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…