Joshua Mbezi
Member
- Oct 18, 2024
- 66
- 97
ππππππ Kwa hali hii naanza kuhisi dalili za uwepo wa msiba wa kitaifaKuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Hata nikitaja huwezi kulijua mkuuUnaogopa kuwataja wajinga?
Ndio lile kanisa la buza au?Kuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Kama hii taarifa ni ya kweli! Basi ni aibu sana, huyo Mchungaji ana Elimu ya level Gani?Kuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Kesi yake ni htari ,kuna mwaka hapo Iran na thailand watu walipigwa mvua ...Tena kule Iran wananyonga kwa sasa sema kimya kimya. ,china ndio kabisa kesi yake ngumu sana .Mfanyakazi wa BOT leo katuma katiba, kuna vipengele vinakataa kabisa pyramid scheme kukubalika na kusajiliwq BOT
Nyie wa betting dawa yenu inachemka, itawaingia pole pole, mkija kushtuka miaka 10 baadaye, mtakua mmebaki na suruali mlizovaa tu.Wajinga wapigwe tu.
Wajinga wanapigwa kwenye pyramid schemes
Tusio wajinga tunapigwa kwenye betting, bima n.k.
Ni mwendo wa kupigwa tu.
Kwanza najiuliza wangezitoaje wakati maximum ni 500k per week. Sasa mtu ana milioni 13 unaitoajeKuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Kwa kweli, na hawataki kusikia wala kuelewa. Afu utakuta na bado wengine wanapigwaa. LolAcha walie, ni wapumbavu sana. Ukiwaambia hizo pyramid schemes ni utapeli wanakutukana.
Me naamini siku Moja tutarudishiwa tu hela zetu
πππ wanajifunza the hard wayWacha Wapigwe...
Mbona watu wanaonizunguka siwasikii au ndo wanalia kama Mamba mu mayiKumekuchaaaa!! Vilio ni vingi mtaani. Lol
Polee zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko kama mm..sijui unidanganyaje...Sometimes kutokuingia mtandaoni inasaidia hii LBL ndo naisikia Leo, by the way huo ujinga wa Nini Scheme sijawahi kufanya, Wala sijawahi kuulewa, wasingenipata
Nakumbuka ulikua ukiwaeleza jamani ni utapeli huoo khaaaah wanakua wakali haooo alafu watu wa Lbl nchi nzima wana majibu yanafanana nahisi pia walikua wanakaririshwaKumekuchaaaa!! Vilio ni vingi mtaani. Lol
Polee zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kanisa la kilokole walitembelewa na mchungaji mpya, huyo mchungaji akawaambia kuhusu LBL
Waumini na mchungaji wao wakajiunga wengine kwa pesa za kukopa.
Sasa wao hawajawahi kutoa faida LBL walishauriana waziache ziwe nyingi, wakija kutoa watoe mamilioni ya pesa.
Sasa hivi ni kilio tu kanisani baada ya kutapeliwa.
Nimesoma BIMA na hapo inakuaje au ndo ile unatibiwa kwa tareh flan mpaka flani alafu husipopona ndo imeisha hiyo utajua mwenyewe?Wajinga wapigwe tu.
Wajinga wanapigwa kwenye pyramid schemes
Tusio wajinga tunapigwa kwenye betting, bima n.k.
Ni mwendo wa kupigwa tu.
Kweli kabisa kuna watu aliingia kupitia Facebook, ila mimi pia nimeisikia mara ya kwanza huko duniani kwa mtu ambaye alikua ameshajiunga.Sometimes kutokuingia mtandaoni inasaidia hii LBL ndo naisikia Leo, by the way huo ujinga wa Nini Scheme sijawahi kufanya, Wala sijawahi kuulewa, wasingenipata