Tulizeni mioyo Watanzania

Tulizeni mioyo Watanzania

Wadanganyika munatakiwa kuunda jumuiya za kutetea jamii, na kushughulikia maslahi ya jamii.Kama kungelikuwa na jumuiya za namna hii, ni rahisi kuandaa maandamano kupinga maamuzi kama haya bungeni.

Aidha kwa wanasiasa kwangu mimi nawaona kama ni too theoretical na waongo mara nyingi.Pengine hii inakuja na kuwa mimi ni science boy, hivyo kila kitu nataka practical approaches...and not bla bla bla...

Kama wadanganyika mnasubiri bunge lifanye kitu, naona kama hatufiki....itisheni maandamano!!
 
Hawakufunika Kombe......ndo aina yao ya siasa za kinafikii. Mifanoo ipo mingii..

Nilishangaa sana hata media wametumia neno funika kombe mwanaharamu apite...sio kweli. Hatimaye tumegundua EL hakushinikizwaa kujiuzulu bali aliamua kwa hairi yake kuwajibikaaa.
 
Wadanganyika munatakiwa kuunda jumuiya za kutetea jamii, na kushughulikia maslahi ya jamii.Kama kungelikuwa na jumuiya za namna hii, ni rahisi kuandaa maandamano kupinga maamuzi kama haya bungeni.

Aidha kwa wanasiasa kwangu mimi nawaona kama ni too theoretical na waongo mara nyingi.Pengine hii inakuja na kuwa mimi ni science boy, hivyo kila kitu nataka practical approaches...and not bla bla bla...

Kama wadanganyika mnasubiri bunge lifanye kitu, naona kama hatufiki....itisheni maandamano!!
Hatuwezi kuijenga nchi hii ikafanikiwa na aina ya wana siasa hawa tulionao. Kamwe hatutaweza! Wamezidi kutuongopea.
Hawana uchungu hata kidogo na nchi yetu. Wanahangaika na kushibisha matumbo yao tu.
Kweli imefika wakati sasa kuwa na system nyingine tofauti za kushughulikia matatizo ya kijamii yanayotuzunguka. Naamini kama watu wengi watakuwa empowered nje ya mifumo ya kisiasa ipo siku wataamua nini wanataka na kuwaacha wanasiasa wakihangaika na porojo zao.
 
Wale "wapiganaji" wako wapi? Mbona wamekuwa kimya?

hakukuwa na wapiganaji mkuu....bali wanasanaa ya upiganaji....yaani hawa ni kama kina john cena.......wanaigiza upiganaji na siyo kama akina mani pacquiao ambao ni wapiganaji wa kweli...

pengine hakukosea mamaa wa mipasho bi SS..."hawa akina Mwaki.....hawana lolote, njaa tu zinawasumbua"...
 
Mbali na tukio la jana bungeni ambalo limeonesha udhaifu wa baadhi ya wabunge lakini kwa upande wangu bado nina imani kubwa kuwa si wabunge wote wa CCM wamefurahishwa na kitendo hicho ukiachilia mbali ya Sendeka wa CCM aliyeonekana wazi kutofurahishwa

kile kitendo cha wabunge wengi wa CCM kukaa kimya hasa waliokuwa wajitambulisha kama wapambanaji wa ufisadi ni dalili tosha kuonesha hisia yao kwa hiyo mtu mwenye akili atajiuliza kulikoni

mimi sichukulii ile vote ya Ndiyo nyingi na Hapana chache kama kigezo cha kuwabeza wapambanaji bali ni aina mojawapo ya mbinu ya ku win walicho plan they are too slow but smart tusubiri mambo mazuri hayahitaji haraka
 
But what happened? Kwenye hicho kikao cha Wabunge wa CCM tunachoambiwa kilifanyika kilisemwa nini hata kufanya uamuzi uwe ni "kufunika kombe ...... wapite?"

Nilimsikia Mzee Six kwenye taarifa ya habari alivyojaribu kujitutumua kwa kumpasha Rostam. Hapa issue haikuwa matamshi ya Rostam ya kutaka jopo la Majaji liamue jambo ambalo linashughulikiwa na Bunge. Issue ni kwamba Taifa lilitapeliwa, matapeli walitajwa kwa majina, kwa nini matapeli hao bado wanatesa na hakuna hatua zozote za maana zinazochukuliwa kichama ama kiserikali?

Mzee Mwanakijiji mioyo ingeliweza kutulia pale ambapo tungesikia Wabunge wa CCM kwenye kikao chao wamejaribu kukataa kufunika kombe, na hata kama kombe lingelifunikwa huko chamani basi Bungeni kombe lingelifunuliwa tu na mwanaharamu akabanwa ipasavyo!!

Nina wasiwasi kwamba huenda Mzee Six anawaza zaidi kofia yake ya Uspika kuliko maslahi ya taifa. Lakini aelewe kwamba politics is a dirty game. Kwa kosa alilofanya anaweza huko mbele ya safari akaikosa hiyo kofia anayoilinda sasa. One mistake one goal!
 
When your hero falls from grace all fairy tales are uncovered,myths exposed and pain magnified,the greatest pain discovered,they taught me to be strong but am confused to see them weak,they said never give up,stop and see what makes one cry,so painful and sad,and sometimes i cry and no one cares about me...but one day is one day,i will stand alone in this war as a real solder as long as i know the real hero is the man who fights even though he is scared.The very idea of losing is hateful to Tanzanian more especially who are living in rural areas like Mzee Mwanaijiji,any way we have brave men and women in the army(jamii forums) they will make us proud...
 
sasa najua kwanini Watanzania tunaburuzwa; hatujui kupigana migogoro ya kisiasa. Tunachanga watu wanazoungumza kwa uchungu na hasira na mapambano ya kuangusha watu kisiasa. Sasa watu wasipozungumza tunavyotarajia tunaamini hawapigani tena.
 
Uliwahi kunukuliwa ukisema kwamba wewe ni msanii ndiyo uko kazini kuwadanganya wadanganyika waendelee kusubiri...ha! good job anyway!

Wazungumzaji wenyewe tangu awali (wenye akili tulitambua) utawaona wanatetea maslahi yao na kikundi chao wala si watanganyika wote...kama wamepewa walichotaka ya nini kuhangaika...

Ukitaka kujua hawana wananchi embu waite maandamano uone nani atamfuta mwakyembe sitta etc? no one can dear die because of them..bado tunamsubiri mandela wetu...

Na wamekutuma hapa uwapooze wanaharakati..what a game?(usanii) very nice subirini wanakondoo na poleni
 
Wanabodi, nimekutana na hii kwa hisani ya globu ya jamii.

Mwaka huu ni mwaka wa Uamuzi wetu; ni mwaka wa uchaguzi wetu. Tusiwaache wanasiasa watuamulie tunachotaka ili tuwachague; tuwaamulie kile tunachotaka ili wakikubali tuwachague!!

Ni mimi ndugu yenu,
Mwenzenu,
rafiki yenu,
Na wengine adui yenu wa kudumu

Mpaka msalimu amri!!

M. M. Mwanakijiji

NB: Tutaanza matangazo yangu ya audio wiki ijayo inshallah.. mwendo mdundo mpaka kampeni.. zikiiva..tutaonana majukwaani!!
Wenye uwezo wa kurekodi CDs (downloads) tutakuwa na option ya kudownload episodes za "kijijini leo hii" na mnaruhusiwa kuzicheza na kuzisambaza mahali popote!!

My Take: paliponikuna hadi kutoa shukrani kwa MMKJJ hapa "NB: Tutaanza matangazo yangu ya audio wiki ijayo inshallah.. mwendo mdundo mpaka kampeni.. zikiiva..tutaonana majukwaani!!".

Tumeanza kutoka kwenye maneno mengii sasa tunaelekea kwenye vitendo.
Pasco.
 
in one week.. karibu thread tatu za mwanakijiji.. mnaanza kunitisha.. MODs please..
 
ni sawa kabisa....makala nzuri sana...tatizo haya yoote yatawezekana humu mijini tu...wananchi ambao ndio wapiga kura walio wengi wapo vijijini.....hawajui chochote kinachoendelea kuhusu mageuzi ya kifikra yanayoongelewa humu....nakwambia ni ngumu sana.....kwa mfano ,mimi shughuli zangu huwa zinahusiana na kuzunguka ma wilayani na vijijini...we acha kabisa....BADO NI NDOTO KUWABADILI WATU KIFIKRA NA KIMTAZAMO....yaani kwa jinsi ilivyo hao wanaoitwa mafisadi karibu wooote wanakubalika huko majimboni mwao.,tena hata kwenye nyumba za ibada.....naona iko kazi...nahisi kwa mwaka huu stori ni ile ile....kama kuna kaugumu basi kwa vyovyote vile ,kanuni a na b zitatumika kama kawaida...
 
Nakubaliana nawe kabisa!wengi humu wanafikiri mabadiliko yataletwa na kuandika makala kwenye magazeti na kwenye mitandao!Kwa watanzania bado sana!mie pia nazunguka vijijini kwenye wapiga kura wengi hakuna umeme wala Tv ,magazeti yanaishi mijini tu!njia ya kuwafikia hao ni mikutano ya hadhara tuuu!
Wengi wana radio lakini zinatumia battery na anapata TBC tu au radio za mikoani nyingi ni mziki tu!
 
kama mikutano ya hadhara ingekuwa inaleta mabadiliko Tanzania ingekuwa paradiso! Hivi unajua ni mikutano mingapi ya hadhara inafanyika Tanzania kila siku? mingine hutanguliwa na kwaya yenye maspika makubwa..!! Kama mikutano ya hadhara inaleta mabadiliko basi Dar-es-Salaam ingekuwa bonge la sehemu!!!
 
Back
Top Bottom