MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Wadanganyika munatakiwa kuunda jumuiya za kutetea jamii, na kushughulikia maslahi ya jamii.Kama kungelikuwa na jumuiya za namna hii, ni rahisi kuandaa maandamano kupinga maamuzi kama haya bungeni.
Aidha kwa wanasiasa kwangu mimi nawaona kama ni too theoretical na waongo mara nyingi.Pengine hii inakuja na kuwa mimi ni science boy, hivyo kila kitu nataka practical approaches...and not bla bla bla...
Kama wadanganyika mnasubiri bunge lifanye kitu, naona kama hatufiki....itisheni maandamano!!