Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia.
Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Enjoy soka!
Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Enjoy soka!