Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Utani sawa uendelee ila watu wapunguze kimuhemuhe,mbona kawaida tu!Kwa hiyo Mkuu mini maana ya utani wa jadi? Lazima kila mtu atetee upande wake kuwa utashinda.
Kwa hizi takwim, nadiriki kusema Simba ni kiaz tu kwa Yanga!Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia.
Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Enjoy soka!
View attachment 1773865
Mbona ujuaji mwingi? Acha zitupelekeshe tu hizi timu! Maana ndoimepangwa hivyo! Yaan mimi simba damu nawewe utopolo lialia! Sasa joto lazima lipande! Huoni hata azam tv wenyewe siju yamechi hushinda kutwa nzima wanaizungumzia? Wewe kama inakiona kipigo kitakatif basi jikaushe tu, usisababishe watopolo wengine wakaingiwa ubariiidi?Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia.
Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Enjoy soka!
View attachment 1773865
Nimeshangaa kuwa Yanga imefunga 103 lakini kwa upande wa ku concede Simba ime concede mara 47.Mitakwimu ya kupika lazima iwe na kasoro, goals scored za Simba lazima zifanane na goals conceded kwa Yanga and vice versa, labda utuambie hiyo conceded ni kitu gani labda ni fouls, goal kicks au corners conceded, lakini kama ni goals conceded hapo umechemka kaa chini tuliza kichwa pika vizuri takwimu zako ndo uje utudanganye.
Relax mkuu,chukulia kawaida tu.Pressure lazma mkuu mm mwenyew hapa akil haifanyi kaz kabisa
Hii ni kauli ya kukata tamaa kabisa πππ...Kama Simba kumfunga tushamfunga Sana hakuna jipya, tufunge au tufungwe yote sawa tu.
Mkuu mm gemu za simba na yanga zilishanishinda kuangalia sio uwanjan au kusikiliza labda nitafute sehemu nikae peke yangu yanga ikiwa ikiwa inashambuliwa nazma TV au radioRelax mkuu,chukulia kawaida tu.
Kwa hizi takwimu, Simba ni underdog kwa Yanga.Kwa hizi takwim, nadiriki kusema Simba ni kiaz tu kwa Yanga!