ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kila report ya CAG lazima ikute madudu na wabadhirifu hawachukuliwi hatua Kali.Hakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
Kweli kbs kodi ikizidi uzalishaji unapunguaKodi kila mtu anataka kulipa, vile vile tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia biashara. HAKUNA NCHI DUNIA HII ILIYOENDELEA KWA KUWAFANYA MATAJIRI WAISHI KIMASIKINI.
Halafu hizo kodi zetu mnunulie ma VX yanayopinduliwa kila kukicha.Hakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
Matajiri wa wapi wanaishi kimasikin.kwa TAARIFA yako matajiri wanapiga hela kuliko awamu NYINGI.wengi tuKodi kila mtu anataka kulipa, vile vile tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia biashara. HAKUNA NCHI DUNIA HII ILIYOENDELEA KWA KUWAFANYA MATAJIRI WAISHI KIMASIKINI.
Ili mtakase mchafu, sharti ujitakase kwanzaHakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
Hakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
WATU WANAOISHI MAISHA YA KULA KULALA BURE UTAZIJUA TUU THREAD ZAOHakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.
Kwa taarifa yako biashara kwa Sasa ndio zimeshamiri.watu wengi yu tunawajua wanapiga hela kwenye biashara.na kwanini useme utaratibu mbaya.fafanua vizuri kipi kimekosewaAkili nyingine sijui hata mmeziokota au ndio hizi za kuzaliwa nazo?
Hakuna mtu anapinga kulipa kodi enyi wapumbavu , kinachopingwa ni utaratibu mbaya na mazingira ya hizo kodi zenu. Umeua biashara, umeshindwa kutengeneza mazingira rafiki, umeshindwa hata kuvutia wawekezaji halafu unabwabwaja eti watu walipe kodi, na wakishalipa kodi hela zao unazifanyia nini ambacho kitawanufaisha walipa kodi kama sio kuzitumia kwenye chaguzi za kijinga.
Mnatumwa kuja kuandika tu bila hata kuwahoji wanaowatuma.
Nasikia kuna wakati tulikuwa na kodi za kichwa, ngombe na kuku ..... na kujikuta yamefika huko ujue kuwa ni mwisho wa rami ..... yaani sources za revenues collection na idea zimefikia mwisho ...!! Ndiyo maana unasikia kodi za visima zinavyopigiwa kelele ...!!Akili nyingine sijui hata mmeziokota au ndio hizi za kuzaliwa nazo?