Tulizoea maisha ya ujanja ujanja kurudi kwenye halali tunaona nongwa

Kodi kila mtu anataka kulipa, vile vile tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia biashara. HAKUNA NCHI DUNIA HII ILIYOENDELEA KWA KUWAFANYA MATAJIRI WAISHI KIMASIKINI.
Kweli kbs kodi ikizidi uzalishaji unapungua
 
Kung'ang'ania kodi zilipwe wakati unaua uchumi na biashara ni sawa na kutarajia coaster ikuingizie pesa kila siku ila gereji huipeleki ipo siku Engine ita noki tu na ndio utakuwa mwisho wa mchezo!

We need proper money distribution as well as stable markets ili biashara ziende vyema, watu watalipa kodi tu tena bila kutumia nguvu! Ila kwa sasa wacha watu wahamie instagram na kupanga vimeza road maana kufungua fremu tu nongwa!
 
Kodi kila mtu anataka kulipa, vile vile tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia biashara. HAKUNA NCHI DUNIA HII ILIYOENDELEA KWA KUWAFANYA MATAJIRI WAISHI KIMASIKINI.
Matajiri wa wapi wanaishi kimasikin.kwa TAARIFA yako matajiri wanapiga hela kuliko awamu NYINGI.wengi tu
 
Akili nyingine sijui hata mmeziokota au ndio hizi za kuzaliwa nazo?
Hakuna mtu anapinga kulipa kodi enyi wapumbavu , kinachopingwa ni utaratibu mbaya na mazingira ya hizo kodi zenu. Umeua biashara, umeshindwa kutengeneza mazingira rafiki, umeshindwa hata kuvutia wawekezaji halafu unabwabwaja eti watu walipe kodi, na wakishalipa kodi hela zao unazifanyia nini ambacho kitawanufaisha walipa kodi kama sio kuzitumia kwenye chaguzi za kijinga.
Mnatumwa kuja kuandika tu bila hata kuwahoji wanaowatuma.
 
Hakuna nchi dunia hii itaendeshwa bila kodi.lazima tukamuliwe ili hela ipatikane tuache kupewa mikopo ya masharti ya kipumbavu.

Na hakuna nchi dunia hii ilishawahi kufanikiwa kwa kuweka sera mbovu za kodi. Kama upo karibu na jiwe basi mwambie kuwa moja ya kanuni za msingi kabisa za kodi ni hii:

Fairness (kodi inayotozwa ni lazima iwiane na kipato cha mlipa kodi na sio kubambika tu)
 
Akili nyingine sijui hata mmeziokota au ndio hizi za kuzaliwa nazo?
Hakuna mtu anapinga kulipa kodi enyi wapumbavu , kinachopingwa ni utaratibu mbaya na mazingira ya hizo kodi zenu. Umeua biashara, umeshindwa kutengeneza mazingira rafiki, umeshindwa hata kuvutia wawekezaji halafu unabwabwaja eti watu walipe kodi, na wakishalipa kodi hela zao unazifanyia nini ambacho kitawanufaisha walipa kodi kama sio kuzitumia kwenye chaguzi za kijinga.
Mnatumwa kuja kuandika tu bila hata kuwahoji wanaowatuma.
Kwa taarifa yako biashara kwa Sasa ndio zimeshamiri.watu wengi yu tunawajua wanapiga hela kwenye biashara.na kwanini useme utaratibu mbaya.fafanua vizuri kipi kimekosewa
 
Akili nyingine sijui hata mmeziokota au ndio hizi za kuzaliwa nazo?
Hakuna mtu anapinga kulipa kodi enyi wapumbavu , kinachopingwa ni utaratibu mbaya na mazingira ya hizo kodi zenu. Umeua biashara, umeshindwa kutengeneza mazingira rafiki, umeshindwa hata kuvutia wawekezaji halafu unabwabwaja eti watu walipe kodi, na wakishalipa kodi hela zao unazifanyia nini ambacho kitawanufaisha walipa kodi kama sio kuzitumia kwenye chaguzi za kijinga.
Mnatumwa kuja kuandika tu bila hata kuwahoji wanaowatuma.
Nasikia kuna wakati tulikuwa na kodi za kichwa, ngombe na kuku ..... na kujikuta yamefika huko ujue kuwa ni mwisho wa rami ..... yaani sources za revenues collection na idea zimefikia mwisho ...!! Ndiyo maana unasikia kodi za visima zinavyopigiwa kelele ...!!
 
Kupata annual increments na kupanda madaraja kwa watumishi nao ni ujanjajanja?
Aidha kupata mafao ya wastaafu ni janjajanja?
Au michakato inaendelea mbona alisema hataki kusikia neno michakato kwenye awamu hii?
 
hakuna nchi iliyowahi kufanikiwa kwa uchumi wa mtutu wa bunduki.

endeleeni kumdanganya huyo mtu.
 
Back
Top Bottom