Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
...Ni muda kuwakumbuka wanaJF wenzetu popote walipo kwa kuwatumia salaam za kuwatakia kheri kwa kila walitendalo.
  • salaam zangu za kwanza ziende kwa..dada Valentina popote alipo.
  • ...za pili ziende kwa Heaven Sent popote pale alipo
  • na za tatu zimfikie kaka Lizaboni najua yupo kwenye majukumu ya hapa na pale mwambieni The Book namsalimu sana.....UJUMBE "Jogoo wa Shamba Hawiki Mjini"
naachia laini...............................
 
Napenda kutuma salamu kwa mshana JR, napia najitumia mm mwenyewe
ujumbe kaaa uko na nami nikae kule tumfinye msehnzi.....
poa achia laini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…