Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

kwanza najitumia mimi mwenyewe, salam za pili ziwaendee wale wote wenye kuheshimu utu, na wenye kutumia busara na hekima katika kuchangia, tatu kwa wapenda amani wote, Ujumbe: usimjibu mjinga kutokana na ujinga wake ili na wewe usije kuonekana mjinga.

naachia laini
 
Shukran mtani kwema lakini hatimae umetoka ulipojifukia acha hizo mtani huwa unatufikirisha sana ukipotea hivi.
Haha... Nikua "field" katika eneo korofi.. lenye network korofi.. Ila kwa sasa nimerejea.. tupo pamoja Mtani.
 
Namtumia salamu lepro lipumba na Lumumba wote a.k.a buku7
 
Napenda kutuma salamu kwa kwa Vanessa Mdee, Aika wa navy kenzo na Wema Sepetu. Ujumbe wangu ongezeni juhudi katika kazi zenu kuitambulisha Tanzania kimataifa kwani juhudi za wanawake kufanya vizuri katika soko la mataifa lipo nyuma sana kwa Tanzania yetu.
 
keeeh
 
natuma salam kwa baba na mke wake ukoooooooooooooooo mbeya City......... mbeya city stand up
 
Back
Top Bottom