Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Mambo vp hapo studio unasoma message kutoka kwa DEOD 360 aka mtaaram wa kuweka vocha uku nimefumba macho salamu zangu za Kwanza zinifikie mm mwenyewe za pili zimfikie toto la kichaga aka miss chaga popote alipo za tatu na mwisho nikwa adui wa mademu wote wa uswazi wanamuita STUNTER ujumbe hata bombandia nazo ndege at shaaaa tupo wote mpaka tamati
Naachia line
 
Mambo vp hapo studio unasoma message kutoka kwa DEOD 360 aka mtaaram wa kuweka vocha uku nimefumba macho salamu zangu za Kwanza zimfikie toto la kichaga aka miss chaga za pili zimfikie moja kwa moja miss natafuta pipote alipo za tatu na mwisho nikwa adui wa mademu wote wa uswazi wanamuita STUNTER ujumbe hata bombandia nazo ndege at shaaaa tupo wote mpaka tamati
Naachia line
ahsante kwa kuachia line
 
Naitwa kajolijo niko dar.. salam za kwanza zmfkie mkulu wetu,
Za pili ziwafikie wasaidiz wake
Za tatu ziwafikie wapendamaendeleo wote
Ujumbe 'pigeni kazi sisi tunaona mnavojituma achaneni n wapinzan wanaowakatisha tamaa maana wanasumbuliwa na wivu wa kukosa jumba jeupe...
 
Back
Top Bottom