Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Kweli aisee..Yani sijui kwann sisi wanaume tulio tulia uwa tunapata wake wenye mambo mengi...Huyu mwanamke usipoangalia atakuwahisha kwa baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee..Yani sijui kwann sisi wanaume tulio tulia uwa tunapata wake wenye mambo mengi...Huyu mwanamke usipoangalia atakuwahisha kwa baba
Mlolongo wote huu inaonekana Majoto alikuwa anaenda Msalani.
Pole sana ila mkeo aliteleza ameishajirudi inabidi umsameheKweli aisee..Yani sijui kwann sisi wanaume tulio tulia uwa tunapata wake wenye mambo mengi...
Aise hizi ni dharau za hali ya juu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dont take it seriously natania tu jamani
Nilitishwa....kusutwa na mashujaa band..We utakuwa ushavuta mpunga nadhani..Mbona zamani ulikuwa mjumbe mzuri tu
Ubarikiwe mpendwa...ngoja nipange foleni na mimi nikutumie [emoji5][emoji5]Namtumia salamu gambakuffu, Daby na exit
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Namtumia salam Majoto akiwa amelala
Namtumia tena huyo Majoto akiwa amesimama
halafu namtumia tena akiwa amechuchumaa..... Ujumbe...raha jipe mwenyewe!
Usicheke atiii naona hasira za kumwagana zitaniishia mie[emoji1] [emoji6][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Halafu nilitaka kukutumia salamu sijui nimesahauje?[emoji34]Ubarikiwe mpendwa...ngoja nipange foleni na mimi nikutumie [emoji5][emoji5]
Haya Panga foleni uchukue line...nimetune kukusikiliza..[emoji4][emoji4]Halafu nilitaka kukutumia salamu sijui nimesahauje?[emoji34]
Na mm nipo hapokwanza najitumia mimi mwenyewe, salam za pili ziwaendee wale wote wenye kuheshimu utu, na wenye kutumia busara na hekima katika kuchangia, tatu kwa wapenda amani wote, Ujumbe: usimjibu mjinga kutokana na ujinga wake ili na wewe usije kuonekana mjinga.
naachia laini
Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.We utakuwa ushavuta mpunga nadhani..Mbona zamani ulikuwa mjumbe mzuri tu
Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.Kweli aisee..Yani sijui kwann sisi wanaume tulio tulia uwa tunapata wake wenye mambo mengi...
Toooba!! We mwanamke wewe, @qugley kwanza yuko wapi? Maana naona unaleta balaa.Nilitishwa....kusutwa na mashujaa band..
Khaaaaah!! Mie nimefurahi tu.Unanicheka eh nimekuwa dereva wa Bodaboda!
Hahaaaa!!! Kwani bado una hasira!Usicheke atiii naona hasira za kumwagana zitaniishia mie[emoji1] [emoji6]