Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pat ndio unataka kusemaje?Nimeogopa kuonekana "zumbukuku"...
Nawaogopa sana watu wanaolala wawili bila nguo....
Salamu zangu zimfikie
Huyu mwanamke usipoangalia atakuwahisha kwa babacc Heaven Sent kwa taarifa zaidi
Hivi Patience123 hiki kilichokuwa kinaendelea unakifahamu?..Mbona hujanipa taarifa
Ataweza kulima?Labda akawe boda boda[emoji1]Hahaaaa!! Rogie ni jipu, akalime salama kabisa.
Na kuachana wameachana yani ni shidaaa....He hee kashaanza kulia mapema yote hii
Kweli awali ni awali tu hakuna awali mbovu
Hahaaaa!! Mbona boda boda!Ataweza kulima?Labda akawe boda boda[emoji1]
Dont take it seriously natania tu jamaniAise hizi ni dharau za hali ya juu.
Mlolongo wote huu inaonekana Majoto alikuwa anaenda Msalani.Namtumia salam Majoto akiwa amelala
Namtumia tena huyo Majoto akiwa amesimama
halafu namtumia tena akiwa amechuchumaa..... Ujumbe...raha jipe mwenyewe!
We utakuwa ushavuta mpunga nadhani..Mbona zamani ulikuwa mjumbe mzuri tuNimeogopa kuonekana "zumbukuku"...
Nawaogopa sana watu wanaolala wawili bila nguo....