Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Salamu zangu za kwanza najitumia mwenyewe, za pili najitumia mwenyewe na za tatu najitumia mwenyewe,
Ujumbe.
Matatizo si tatizo.
Naachia line...
 
Huu mtindo wa salamu kama iunaanza kupotea hivi sijui kwanini
 
Namtumia salam Majoto akiwa amelala
Namtumia tena huyo Majoto akiwa amesimama
halafu namtumia tena akiwa amechuchumaa..... Ujumbe...raha jipe mwenyewe!
 
Namtumia salam Majoto akiwa amelala
Namtumia tena huyo Majoto akiwa amesimama
halafu namtumia tena akiwa amechuchumaa..... Ujumbe...raha jipe mwenyewe!
Mlolongo wote huu inaonekana Majoto alikuwa anaenda Msalani.
 
Back
Top Bottom