Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

salamu zangu za kwanza najitumia mwenyewe

salamu zangu za pili najitumia mwenyewe

salamu za tatu na za mwisho namtumia mdogo wangu Iceman 3D

Ujumbe :kuishi kwingi ni kuona mengi
naachia line
 
mkuu Valentina huu ni mwingiliano wa mawasiliano unaitwa. mtu anaitwa wewe jiran inakuwaje unaitika?

hahahahahahahah niombe msamaha aisee
Mimi mwenyewe nilibaki na butwaa, huo muingiliano sijauelewa kwakweli.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo nishacant hivyooo!
si umesema ume can mbona hivyo tena? be serious bhana unajua sipendagi ujinga mimi????!!!!!
 
si umesema ume can mbona hivyo tena? be serious bhana unajua sipendagi ujinga mimi????!!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] naona unamvika STUNTER kilemba cha ukoka
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Napenda kutuma salamu zanagu kwa watu wangu watatu
1 Juma
2 Pumba
3 Maharage
Ujumbe akiinama chungulia akigeuka kimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…