Shukran mtani kwema lakini hatimae umetoka ulipojifukia acha hizo mtani huwa unatufikirisha sana ukipotea hivi.
Haha... Nikua "field" katika eneo korofi.. lenye network korofi.. Ila kwa sasa nimerejea.. tupo pamoja Mtani.Shukran mtani kwema lakini hatimae umetoka ulipojifukia acha hizo mtani huwa unatufikirisha sana ukipotea hivi.
keeehNapenda kutuma salamu kwa kwa Vanessa Mdee, Aika wa navy kenzo na Wema Sepetu. Ujumbe wangu ongezeni juhudi katika kazi zenu kuitambulisha Tanzania kimataifa kwani juhudi za wanawake kufanya vizuri katika soko la mataifa lipo nyuma sana kwa Tanzania yetu.
Mmmh unawawaza wawili na mimi nawaza kasoro kaboomkwa
mshana jr
kaboom
miss chagga
Naachia laini.achia laini