naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Ndio hivyo mkuu.Alaah! kumbe figisu figisu zote hizi mawe ya kizani yana shabaha!
Mimi namjua vizuri hata mwaka jana alikimbia piaKatoa udhuru kuwa alikuwa sehemu korofi mimi nimemridhia nakuomba nawe ndugu yangu mridhie
ahsante kwa kuachia lineMambo vp hapo studio unasoma message kutoka kwa DEOD 360 aka mtaaram wa kuweka vocha uku nimefumba macho salamu zangu za Kwanza zimfikie toto la kichaga aka miss chaga za pili zimfikie moja kwa moja miss natafuta pipote alipo za tatu na mwisho nikwa adui wa mademu wote wa uswazi wanamuita STUNTER ujumbe hata bombandia nazo ndege at shaaaa tupo wote mpaka tamati
Naachia line
Unaanzaje kurushika roho mtu unaye jamani?Jiamini atiii[emoji6]Ananirusha roho tu huyo.
Kama dawa halafu kiporo huwa kitamu sana[emoji15]Lakini kukipasha hakina gharama na muda mwingi kama kupika upya ujue!
Pa1 sanaahsante kwa kuachia line
Atoto kasema haja yako ni kumrusha roho tu ila kaandika kwa huruma!Kama dawa halafu kiporo huwa kitamu sana[emoji15]
Mbio pia ujuzi msamehe tuMimi namjua vizuri hata mwaka jana alikimbia pia
Kupitia wapi?yaani kukumbukana kupitia miamala?Tukumbukane kupitia CRDB
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Teh Teh unataka utaje kijiji.....Watatu wachache sana.
Thanks.... Boss Youngblood