Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Pamoja sana brotherThanks.... Boss Youngblood
Ndio nitaje wengi wengiiiiii.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Teh Teh unataka utaje kijiji.....
Hahaaa!!Atoto kasema haja yako ni kumrusha roho tu ila kaandika kwa huruma!
Sa siutaje wachache kwanza alafu umuombe the book akuongezee mudaNdio nitaje wengi wengiiiiii.
Mie sichepuki bwana.Yaan weewe tuu ndio uchepuke...wakichepuka wenzako unamind....
Hainogi bwana.Sa siutaje wachache kwanza alafu umuombe the book akuongezee muda
Wanasemaga malipo hapa hapa duniani.Kama uliiba cha mtu na wewe lazima utaibiwa...[emoji1]Rogie haaminiki, muosha huoshwa, nilimkuta anachepuka mchana kweupeeeee!!! Kiranga chote komooo!
Hadi nimemuonea huruma mtu upo nae ila unaishi bila matumaini si bora kuwa single tu.Au unaonaje?[emoji124]Atoto kasema haja yako ni kumrusha roho tu ila kaandika kwa huruma!
Kulikoni mbona unamuita?Rogie .....
Hivi alikuwaga wako?Akakuacha?Yaan weewe tuu ndio uchepuke...wakichepuka wenzako unamind....
Anahitaji faraja khasa kutoka kwa mshindani wake kama weye so mtie nguvu ajiaminiHadi nimemuonea huruma mtu upo nae ila unaishi bila matumaini si bora kuwa single tu.Au unaonaje?[emoji124]
Ila mi sikuiba ujue[emoji12]Wanasemaga malipo hapa hapa duniani.Kama uliiba cha mtu na wewe lazima utaibiwa...[emoji1]
Hapana sitaki tena.Anahitaji faraja khasa kutoka kwa mshindani wake kama weye so mtie nguvu ajiamini
Yamekuwa hayo tena kapiga mkwala kidogo tu unaachia ngazi kwa hiyo ruksaaaa watu watie timu? maana jimbo limetangazwa kuwa huru!Hapana sitaki tena.
Mkuu kwa soka mujarabu tunalotandaza kwa sasa, Napataje uthubutu wa kukimbia... Msimu huu, tupo pamoja mpaka may mwakani.Mimi namjua vizuri hata mwaka jana alikimbia pia
Ok kumbe wapisha msongamano! ila sio mbaya kunguru muoga washahili husema huishi miaka 100 kama umeliona hilo kila la kheri nadhani jiandae kupokea Kassim majaliwa nyingiSitaki sio kwasababu ya mkwara wa honey faith, bali Rogie mchepukaji.