Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.

Baada ya kutelekezwa na mume ndio nikapata kipoozeo Rogie kidogo nikapata kahaueni, tooba siku si nyingi si ndio nikambamba mchana kweupeeee anachepuka[emoji134] [emoji134]
Unaniabisha sasa?Hivi unaanzaje kukonda kisa mtu uliyekutana nae mkiwa wote na meno 32?
 
Nashukuru kupata nafasi nifikishieni salam zangu kwa huyu Madame S nisaidieni kufikisha salam hizi.
 
Salamu zangu zimuendee sana sana profesa mapumba
 
Dah..
Shetani
Ibilisi
Na devil
Ujumbe [emoji418] [emoji418] [emoji418] 2020 kama kawa
 
Eyoo eyooo
STUNTER Hapa All the Way From Duniani...
Natuma salamu Kwa Mahabuba Wangu Muhibu Tabibu Wa yanayonisibu Kipenzi changu jje's
-Salamu zingine nazirudisha kwa ninja langu jerrysonkiria
Alafu zamwisho Ziende kwa masela na Masistaduu wote Wa humu Mjengoni..
UJUMBE
Nimeusahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…