Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mie mwenyewe alinishindwa the moment ameanza kutoka na weweKhaaaaah!! Basi umrudie wewe maana mnawezana, mie nimemshindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe alinishindwa the moment ameanza kutoka na weweKhaaaaah!! Basi umrudie wewe maana mnawezana, mie nimemshindwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nini hiyo? Pesa au?
Unaniabisha sasa?Hivi unaanzaje kukonda kisa mtu uliyekutana nae mkiwa wote na meno 32?Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.
Baada ya kutelekezwa na mume ndio nikapata kipoozeo Rogie kidogo nikapata kahaueni, tooba siku si nyingi si ndio nikambamba mchana kweupeeee anachepuka[emoji134] [emoji134]
Hahahaaaa!! Daah!! Basi ngoja nimuache aende.Mie mwenyewe alinishindwa the moment ameanza kutoka na wewe
[emoji3][emoji3] NdiyoKupitia wapi?yaani kukumbukana kupitia miamala?
Anakukondesha kwa kipi hasa?kwani yeye ndio mwenye mwili wako?Kaboom ndio ananikondesha bwana, ameniacha ghafla bila taarifa.
Tulikuwa mwili mmoja.Anakukondesha kwa kipi hasa?kwani yeye ndio mwenye mwili wako?
Ahsante douta kwa taarifa..