Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Malipo duniani..hukumu mbinguni
Yaani hilo jina mbona limebadilika ghafla hivyo!!Yani ww ndo wakunifanyia vituko hivi mbele ya kadamnasi kweli?..Haya bana..Mungu anakuona lakini..Mi nikutakie kila lenye kheri mzazi mwenza..Mi ngoja nijiweke kando
We naona unataka kusummary maisha yangu..Hivi unakumbuka hata kinga kweli?Yaani hilo jina mbona limebadilika ghafla hivyo!!
Plz hebu twende tukayajenge.
Sijafanya hicho kitu bwana, tulikuwa tunasalimiana tu.We naona unataka kusummary maisha yangu..Hivi unakumbuka hata kinga kweli?
cc Heaven Sent kwa taarifa zaidiSijafanya hicho kitu bwana, tulikuwa tunasalimiana tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]CHEKA UNENEPE.
Kuna mzee m1 wa kipemba alikua anafundishwa kusali,
Baada ya kumaliza atahiyatu ustadh akamwambia. Sasa toa salam sala yetu imekamilika.
Eeee.... Jamaa akaanza
Nansalimia haloo mafunda wa kiuiyu,
Nantolea salam chachi SITI wa Kinuni unguja,
Nantolea salamu AMI RASHIDI wa OLE,
NA bila ya kunsahau KAKE HAMAD akaae daraja bovu UNGUJA.
Ustadhi kwa hasira akamwambia bado na NKEO hujamsalimia, mjinga mkubwa we.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85] [emoji85] what?samahanni nilisahua kuachia laini, pia natuma salamu kwa LE mutuz,sjui nmepatia jina jaman.
ujumbe akijamba yeye ushuzi ila nikijamba mie ushazu.
Nimekupenda bureTeh teh..Malipo duniani..hukumu mbinguni
Jamaniiiii!!!Nimekupenda bure
Ndio unakusanya ushahidi??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]cc Heaven Sent kwa taarifa zaidi
Hivi Patience123 hiki kilichokuwa kinaendelea unakifahamu?..Mbona hujanipa taarifa
Ujumbe wake kwako ndio umefanya nimpendeJamaniiiii!!!
Teh Teh baby momma on fulikYani ww ndo wakunifanyia vituko hivi mbele ya kadamnasi kweli?..Haya bana..Mungu anakuona lakini..Mi nikutakie kila lenye kheri mzazi mwenza..Mi ngoja nijiweke kando
Yaani hilo jina mbona limebadilika ghafla hivyo!!
Plz hebu twende tukayajenge.
Anytime daddyAhsante douta kwa taarifa..
Dota dont do this to me pleas.Teh Teh baby momma on fulik
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Anytime daddy
Naumia mjue!Ujumbe wake kwako ndio umefanya nimpende
You think I enjoyed the way you humiliated my daddy eehDota dont do this to me pleas.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hata yeye ulimuumiza ulivyomuacha so maumivu ni zamu kwa zamuNaumia mjue!
Honey Faith acha uchochozi bwana, mie sikumuacha na sijawahi kumuachaHata yeye ulimuumiza ulivyomuacha so maumivu ni zamu kwa zamu
So unamdanganya Rogie wa watu????[emoji15]Honey Faith acha uchochozi bwana, mie sikumuacha na sijawahi kumuacha