Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Natuma Salam kwa:
1.Mbatia (mama Tanzania)
2.JPM.
3.SALARY SLIP
UJUMBE :Hela imepotea
 
CHEKA UNENEPE.

Kuna mzee m1 wa kipemba alikua anafundishwa kusali,

Baada ya kumaliza atahiyatu ustadh akamwambia. Sasa toa salam sala yetu imekamilika.

Eeee.... Jamaa akaanza

Nansalimia haloo mafunda wa kiuiyu,

Nantolea salam chachi SITI wa Kinuni unguja,

Nantolea salamu AMI RASHIDI wa OLE,

NA bila ya kunsahau KAKE HAMAD akaae daraja bovu UNGUJA.

Ustadhi kwa hasira akamwambia bado na NKEO hujamsalimia, mjinga mkubwa we.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watatu ni wachache sana..mimi natuma salamu zangu za zati kabisa kwa kila member wa JF wakiongozwa na the special n the only mamaa Angel Nylon
 
Back
Top Bottom