Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Weee tuma tu mzigo bana tehNimeghairi dota, maana baba yako hasomeki kabisaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee tuma tu mzigo bana tehNimeghairi dota, maana baba yako hasomeki kabisaaaa.
Hahaaaa!! Situmi, weka mambo safi kwanza.Weee tuma tu mzigo bana teh
Wallwahi Siku nikijagundua Unanisaliti Nafsi yangu itakuwa mashakani Honey, Manake Mate ya kumeza sina, ya kutema ntayatoa wapi mimi?beibiiiiiiiiiii nooooop please. please understand me
Wewe leta tu pozi, utakosa mwana na maji ya motoHahaaaa!! Situmi, weka mambo safi kwanza.
Mwana siwezi kosa mama ni mama tu, ila hayo maji ya moto acha niyakose tu.Wewe leta tu pozi, utakosa mwana na maji ya moto
Bado tu hajafika!! Shaurilo.
Hutaki kumlea hata mwanao?Hapana aisee, i cant.
Mwanangu nitamlea ila sio katika mazingira hayo.Hutaki kumlea hata mwanao?
Unataka mazingira gani?Mwanangu nitamlea ila sio katika mazingira hayo.
Mkuu nashukuru Sana kwa kunikumbuka. Natumai u mzima wa afya.