Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiende mbali nami Hata One centimenter awaybbyto worrylec, we will be together all the time. sitaenda hata uwani bbyto mpaka uwepo😀
naanzaje sasa kwa mfano.Usiende mbali nami Hata One centimenter away
unamuuliza nani kwa mfano, nataka tu kujua ila sio kwa ubayaUna line ya TIGO?
Hiyo hapo [emoji337] [emoji338] ukimaliza nipatieAchieni line jamani, mbona sipati line?
Nimezipokea kwa mikono miwili, ujumbe wako nimeusikiaRaimundo naona hataki kushika line...
Salamu zangu ziende kwa wafuatao
1. Familia ya bibi na bwana STUNTER
2. Kwa CHIKIRA MTABARI
3. za mwisho na za mwanzo kwa mtoto mzuri Lyn Vivac
Ujumbe : mimi sio mtu wa mchezo mchezo bwana [emoji53][emoji53]
Na ndio nimeshaachia line...Nimezipokea kwa mikono miwili, ujumbe wako nimeusikia
nimeona.Na ndio nimeshaachia line...
Na mimi na familia sasa hivi...au haujaona salamu zangu za mwisho nilizotuma [emoji54]..where is ujumbe? ?nimechelewa sana kutuma salama acha nianze.
1. zimuendee wa kumoyo wangu STUNTER akiwa hapa pembeni yangu.
2. zimuendee Daby kwa upendo wake mwingi juu ya familia ya Bw/Bi STUNTER
3. Ziwaendee wale ma fans wangu woote bila kumsahau Chief Engineer kwa kuwa yeye ananibamiza sana kwenye comments zangu.
ooops wewe ulisifia tu bhana sijajua kama ndo mhusika, my apologies.Na mimi na familia sasa hivi...au haujaona salamu zangu za mwisho nilizotuma [emoji54]..where is ujumbe? ?
Haha...hayaooops wewe ulisifia tu bhana sijajua kama ndo mhusika, my apologies.
Ujumbe: usimdharau usiyemjua
kwani uongo au? familia yetu ikikua ndo utajua ninamaanisha niniHaha...haya
Kuwa na amani.
asante best yanguKuwa na amani.
Hiyo hapo [emoji337] [emoji338] ukimaliza nipatie