Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Asante, za kwanza kwa mshana jr, pili kisu za ngariba na mwisho kwa valentine, ujumbe hatujui kesho tusicheze na leo
 
nimechelewa sana kutuma salamu acha nianze.

1. zimuendee wa kumoyo wangu STUNTER akiwa hapa pembeni yangu.
2. zimuendee Daby kwa upendo wake mwingi juu ya familia ya Bw/Bi STUNTER
3. Ziwaendee wale ma fans wangu woote bila kumsahau Chief Engineer kwa kuwa yeye ananibamiza sana kwenye comments zangu.
 
nimechelewa sana kutuma salama acha nianze.

1. zimuendee wa kumoyo wangu STUNTER akiwa hapa pembeni yangu.
2. zimuendee Daby kwa upendo wake mwingi juu ya familia ya Bw/Bi STUNTER
3. Ziwaendee wale ma fans wangu woote bila kumsahau Chief Engineer kwa kuwa yeye ananibamiza sana kwenye comments zangu.
Na mimi na familia sasa hivi...au haujaona salamu zangu za mwisho nilizotuma [emoji54]..where is ujumbe? ?
 
ooops wewe ulisifia tu bhana sijajua kama ndo mhusika, my apologies.

Ujumbe: usimdharau usiyemjua
 
Back
Top Bottom