Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

Natuma salamu na tunamshukuru sana mama kwa kuanzisha na kutuletea siku hii muhimu.
 
Huyu holoholo akiendelea kukusumbua, nitamgeuza mara moja kuwa msukule halafu kazi yake kubwa itakuwa ni kukuosha tu miguu na kuzipaka rangi kucha zako za mikononi na miguuni, ili uendelee kupendeza.
mkuu Tate Mkuu si ndo utakuwa umenisogeza karibu nae huyu SweetyCandy hata kama ni msukule ukiondoka tu kidogo namgeuza kuwa mke wangu,alafu nimesikia story yako moja ikaniacha mdomo wazi.
 
Cacute uwe wakwanza halafu anafwata Buj buj wapi sikuoni siku hizi wap mkuu.
 
Natuma Salaam kwa Leonard Mambo Mbotela na ndugu yangu Kiango Mumanyiiiii
 
Kidumu chama Cha Majobless
Hapa nina salaam za wana kama makutupora dronedrake Half american Poor Brain Mad Max Leejay49 leo dada na wana JF wote kwa ujumla
Nimezipokea samaleko hizi kwa moyo wa unyenyekevu sanaaa!

Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…