Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

Mimi Kama raisi wa chama Cha ma jobless pro max, Natumai salamu Kwa wanachama wote wa chama changu popote walipo.

Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy

Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora

Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3235320
Salam zimefika muheshimiwa raisi.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
 
Kila mwaka Februari 13 ni maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Siku hii huadhimisha umuhimu wa redio katika kuhabarisha jamii, kukuza uhuru wa kujieleza, na kuwa msaada muhimu wakati wa majanga na matatizo.

Lengo la Siku ya Redio Duniani ni kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa redio. Ingawa leo hii dunia inatawaliwa na televisheni na simu za mkononi, redio bado ni moja ya vyombo vya mawasiliano vinavyoheshimika, rafiki wa kusafiri, na jukwaa la sauti za jamii kupitia redio za kijamii.

Pia redio bado ni chanzo cha taarifa kinachoheshimiwa na ina mchango mkubwa wakati wa dharura. Inachukua jukumu muhimu katika kukabiliana na masuala ya kimataifa kama mabadiliko ya tabia nchi na inatoa jukwaa kwa mitazamo isiyosikika mara nyingi.

Mada ya Siku ya Redio Duniani 2025 ni "Redio na Mabadiliko ya Tabia Nchi." Lengo la dhima hii ni kuhamsisha watangazaji katika vituo vya redio katika uandishi wao wa habari kuhusu suala hili muhimu ambalo limekuwa janga kubwa duniani
Golgotha Magabe pokea zangu salamu
 
Salamu zangu ziende kwa Mwl Dobele, Mwl Elifuraha, Mwl Msirikale, Padri Bilingi, Mwl Masokola na wazazi wangu. Ujumbe, salamu ni nusu ya kuonana
 
Back
Top Bottom