Tumaini Kweka asihusishwe na mashitaka kwa Sabaya

Shukran ndugu. Wewe umekua muungwana na mkweli. Hawa jamaa zetu wamachame hakika wamekua kama wale wayahudi waliopiga kelele mbele ya pilato kwamba yesu asulubiwe. Licha ya pilato kuwaambia 'silioni kosa la mtu huyu' walipiga kelele 'msulubishe msulubishe' tutolee barnaba (mbowe). Wayahudi wakaende mbele zaidi kusema damu ya yesu na iwe juu yao.
 
Utamaduni upi unauongelea??kulipiza visasi??ili usilipiziwe visasi, tenda wema!!what goes around always comes around!!thats the principle aka KARMA
 
Bwana yenu Sabaya Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 20,hivyo leo anarudishwa Arusha Jela ya Kisongo ili kusubiria Hukumu yake ya tarehe 10 ambayo iwe jua iwe mvua lazima agongwe miaka 30 Jela,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua unacho ongea?. Leo wachaga ndio wanafungua kesi?. Anayefungua kesi ni Jamhuri. Ingekuwa rahisi hivyo makonda angekuwa tayari kafunguliwa kesi.
Hamjiamini hadi kuhakikisha kesi upande wa jamhuri inasimamiwa na tumaini kweka mmachame. Mayahudi tu nyie. Mnataka asulubiwe kulipiza kisasi kutokana kudhibiti ufisadi magendo hadi mfalme wenu mbowe kapoteza jimbo kwa ccm.
 
K
Utamaduni upi unauongelea??kulipiza visasi??ili usilipiziwe visasi, tenda wema!!what goes around always comes around!!thats the principle aka KARMA
KARMA ya mmachame?
 
Hapo unaona umeandika cha maana?
Hamuwezi kusema kisa cha kweli kumchukia sabaya kwa sababu kosa lake ni kusimamia sheria na taratibu wakati nyie mnapenda magendo na biashara haramu. Wenye pesa ndio wanasujudiwa kutokana na ubabe kwa wanyonge.
 
Hapo unaona umeandika cha maana?
Hamuwezi kusema kisa cha kweli kumchukia sabaya kwa sababu kosa lake ni kusimamia sheria na taratibu wakati nyie mnapenda magendo na biashara haramu. Wenye pesa ndio wanasujudiwa kutokana na ubabe kwa wanyonge.
Bwana KMBWEMBWE,kwa hiyo kuvamia Hotel ya watu usiku kumtafuta Nandy tena akiwa ameweka gari binafsi namba za UN ni kusimamia Sheria enh!!!kufoji Kitambulisho cha Idara ya Usalama wa Taifa ni kusimamia Sheria na Taratibu enh!!eti akajiita UNDER COVER mwenyewe[emoji1787][emoji38]!!maana mpaka TISS wenyewe walitoa tamko kumkana kwamba sio Mtumishi wao,lakini wewe kwa akili zako za makalioni unasema alikuwa anasimamia Sheria na Taratibu!!!afanye huo u- UNDER COVER wake Jela sasaView attachment 2255073
 
Gari binafsi lakini UNDER COVER Sabaya kabandika namba za UN[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…