Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

Anasema Chadema waliweka mashada ya maua!

Kwenye kaburi la huyu?

IMG_20210930_170832_807.jpg
 
Tokea mke wake awe mbunge na yeye kawa kimya!

Yupo wapi huyo msemaji wa chama cha Chadema?
 
Nahisi walishamtema yule,alikuwa na limwanamke lifisiemu.
 
yule mke wake aliyekuja kuwa mbunge alikuwa bar maid pale meeda anaitwa suzanne ,duh aisee chadema ile sikutarajia kama hata Dr slaa angebariki madudu yale
 
yule mke wake aliyekuja kuwa mbunge alikuwa bar maid pale meeda anaitwa suzanne ,duh aisee chadema ile sikutarajia kama hata Dr slaa angebariki madudu yale

kwa hiyo bar maid hafai kuwa mke?... bar maid ni kazi tu kama kazi nyingine..
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
Mtu mmoja alijiita Jiwe naye hajasikika muda mrefu, yuko wapi?
 
Back
Top Bottom